Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Nimeona magazeti leo wanaongea sana, niwajulishe tu Fei anatakiwa kununua mkataba na sio kuvunja. Ukinunua unatumia kipengele cha 18, 1.2 na ukivunja unatumia 14 A.B ambacho unarudisha fedha ya usajili.
Katika vita hii niwahakikishie kama Azam hatolipa milion 480 Yanga atakuwa mshindi. Niwahakikishie, bila dola laki 2 Fei atakuwa anaangalia wenzie uwanjani.
Katika vita hii niwahakikishie kama Azam hatolipa milion 480 Yanga atakuwa mshindi. Niwahakikishie, bila dola laki 2 Fei atakuwa anaangalia wenzie uwanjani.