Bila dola laki mbili 2 Feisal hatocheza Azam

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Nimeona magazeti leo wanaongea sana, niwajulishe tu Fei anatakiwa kununua mkataba na sio kuvunja. Ukinunua unatumia kipengele cha 18, 1.2 na ukivunja unatumia 14 A.B ambacho unarudisha fedha ya usajili.

Katika vita hii niwahakikishie kama Azam hatolipa milion 480 Yanga atakuwa mshindi. Niwahakikishie, bila dola laki 2 Fei atakuwa anaangalia wenzie uwanjani.
 
Kuvunja mbona rahisi tu, ni kama dejan vs simba na wengine walio fanya hivyo...

Kuvunja ni kukiuka yaliyo katika makubaliano ya mkataba...

Sasa ukivunja ndio hapo, una weza samehewa au kupuuzwa au kuwajibishwa...

Na yanga haipo tayari ata fei auvunje vipi mkataba au akiuke vipi mkataba na wamuwajibishe... haito kaa itokee sababu wana muitaji na wana taka pia kufanya biashara nae kwa kiwango wakitakacho wao...

Mchezaji ana weza kusubili... ligi ina kwenda kuisha msimu ujao 2022/23 na akaja kuondoka msimu unao fuata...!

Ni kukomoana bila tija... haya na ya manzoki yana fanana japo sio kwa kiwango hicho...
 
Yaani mda mwingi unapotezwa kwa mpira wa bongo ambao hayna lolote la maana ni kukupa stress za bure ni wa hovyo mno huo mda ungeuwekeza kwenye vitu vyenye kua na faida kwako.
 
Kuvunja mbona rahisi tu, ni kama dejan vs simba na wengine walio fanya hivyo...

Kuvunja ni kukiuka yaliyo katika makubaliano ya mkataba...

Sasa ukivunja ndio hapo, una weza samehewa au kupuuzwa au kuwajibishwa...

Na yanga haipo tayari ata fei auvunje vipi mkataba au akiuke vipi mkataba na wamuwajibishe... haito kaa itokee sababu wana muitaji na wana taka pia kufanya biashara nae kwa kiwango wakitakacho wao...

Mchezaji ana weza kusubili... ligi ina kwenda kuisha msimu ujao 2022/23 na akaja kuondoka msimu unao fuata...!

Ni kukomoana bila tija... haya na ya manzoki yana fanana japo sio kwa kiwango hicho...
Umeongea kisomi Sana.
 
Nimeona magazeti leo wanaongea sana, niwajulishe tu Fei anatakiwa kununua mkataba na sio kuvunja. Ukinunua unatumia kipengele cha 18, 1.2 na ukivunja unatumia 14 A.B ambacho unarudisha fedha ya usajili.

Katika vita hii niwahakikishie kama Azam hatolipa milion 480 Yanga atakuwa mshindi. Niwahakikishie, bila dola laki 2 Fei atakuwa anaangalia wenzie uwanjani.
Yaani mchezaji wa milioni 480 ndio analipwa mshahara sh ngapi pale yanga? Kwa akili za uto unawezakuta mayele anathamani sawa na halaand
 
Kiasi gani analipwa ni makubaliano kati ya management yake na klabu. Tatizo siyo la klabu kwani kwenye biashara ni win win situation. Wao waliona zinatosha ndiyo maana walisaini mkataba hadi 2024.
Kuhusu kununua mkataba kama klabu bado inamhitaji mchezaji inayo haki ya kukataa na kanuni zinailinda klabu. Rejea jaribio la mwanzo la Sureboy kuondoka Azam lilivyozimwa.
Ili mchezaji au klabu iweze kuwa na haki ya kuvunja mkataba ni lazima upande mmoja uwe umekiuka makubaliano yaliyoko kwenye mkataba.Haiwezekani upande mmoja ukaamka asubuhi na kusema unavunja mkataba bila kueleza ni mambo gani yamekiukwa kwenye mkataba.waliosainiana.
 
unaandika ujinga tu,hivi mfanyakazi akiamua kuacha kazi lazima mkubaliane ama nianayetaka kuacha kazi kupitia mkataba na kuangalia kipengele cha kuvunja mkataba unakifuata,imesha
 
Hivi ni kwanin Azam wanataka shortcut?

Nauliza tu kujua sababu naamini wanajua vizuri taratibu za kuchukua mchezaji wa timu nyingine
Bila shaka wameanza kuingia kwenye siasa za mpira wa Bongo. Ngoja tuone mwisho wa huu mvutano wao.

Ila kwa mtazamo wangu, naona hawajamtendea haki bwana mdogo Feisal Salum.
 
Kama kwenye mkataba wa Fei na Yanga palikuwepo na kipengele cha kuvunja mkataba, basi Fei ndio ame activate hiyo clause, mengine uliyoandika hapo ni story tu.
Hakuna mkataba usio na kipengele Cha kuuvunja, kinachotakiwa wewe mvunjaji uelezee Sababu za kuuvunja uo mkataba na Sababu Yako iwe na mantiki.

Kama ingekua wachezaji woote wanavunja Mikataba Kwa njia iyo ya Fei Toto wachezaji wengi wange fanya ivyo.
Shida iliyopo ni umbumbumbu katika tafsiri ya mambo.
 
Ishu ya Feisal ishaisha, tuendelee na mengine...
 
Kiasi gani analipwa ni makubaliano kati ya management yake na klabu. Tatizo siyo la klabu kwani kwenye biashara ni win win situation. Wao waliona zinatosha ndiyo maana walisaini mkataba hadi 2024.
Kuhusu kununua mkataba kama klabu bado inamhitaji mchezaji inayo haki ya kukataa na kanuni zinailinda klabu. Rejea jaribio la mwanzo la Sureboy kuondoka Azam lilivyozimwa.
Ili mchezaji au klabu iweze kuwa na haki ya kuvunja mkataba ni lazima upande mmoja uwe umekiuka makubaliano yaliyoko kwenye mkataba.Haiwezekani upande mmoja ukaamka asubuhi na kusema unavunja mkataba bila kueleza ni mambo gani yamekiukwa kwenye mkataba.waliosainiana.
Sasa kama kuvunja mkataba hadi upande mmoja ukiuke vipengele vya mkataba Yale malipo ni ya nini waliyomuwekea fei endapo atahitaji kuvunja mkataba?
 
Hakuna mkataba usio na kipengele Cha kuuvunja, kinachotakiwa wewe mvunjaji uelezee Sababu za kuuvunja uo mkataba na Sababu Yako iwe na mantiki.

Kama ingekua wachezaji woote wanavunja Mikataba Kwa njia iyo ya Fei Toto wachezaji wengi wange fanya ivyo.
Shida iliyopo ni umbumbumbu katika tafsiri ya mambo.
Ww unaona ni rahisi kwa Fei kuuvunja huo mkataba ila unasahau kuwa thamani yake ndiyo imesababisha ww kuona kuwa anauvunja kirahisi.

Yanga ingempa mkataba wenye thamani sawa na thamani yake asingeweza kuuvunja kirahisi.

Thamani yake ingekuwa ndogo kuliko ya mkataba au sawa asingepata pesa ya kuuvunja huo mkataba hivyo ingekuwa ngumu kuuvunja.

Tatizo ni kuwa Yanga inamilikiki mchezaji wa thamani kubwa kwa mkataba wenye thamani ndogo. Hapo ndo urahisi wa kuuvunja unapotokea.

Uraisi na ugumu wa kuuvunja mkataba unatokana na thamani. Thamani inatengenezwa na vipengele. Thamani ya mkataba ikiwa juu na maslahi kwa mchezaji yanakuwa juu and vice versa.

Sababu ya kuvunja mkataba inaweza kuwa yoyote hata kukosa furaha kwenye klabu. Kinachoilinda klabu ni vipengele ilivyoweka. Kama ni vyepesi kwa mchezaji anavivunja tu.
 
Yaani mchezaji wa milioni 480 ndio analipwa mshahara sh ngapi pale yanga? Kwa akili za uto unawezakuta mayele anathamani sawa na halaand
Pale uto ni vigumu sana kumwacha mchezaji apate fursa zaidi.
Wana miiko ya kichawi sana ni vile tu wengi wanaocheza hapo ni wanafamilia za kichawi

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Timu yenye mambo ya kishirikina Kwa Africa na Tanzania inafahamika, Timu yenye tabia ya kupulizia madawa kwenye vyumba vya kubadilishia nguo vya wapinzani Kwa Africa inafahamika, Timu yenye kutoa makafara na kuingia na mapaka uwanjani inafahamika na si timu nyingine zaidi ya Simba fc, Ngada fc, Mbumbumbu fc,Moto fc.[emoji3][emoji3]
 
Hakuna mkataba usio na kipengele Cha kuuvunja, kinachotakiwa wewe mvunjaji uelezee Sababu za kuuvunja uo mkataba na Sababu Yako iwe na mantiki.

Kama ingekua wachezaji woote wanavunja Mikataba Kwa njia iyo ya Fei Toto wachezaji wengi wange fanya ivyo.
Shida iliyopo ni umbumbumbu katika tafsiri ya mambo.
Tatizo lako unadhani mikataba ya wachezaji wote inafanana.
Na ujinga mwingine ni kuamini wale waasheria wa utopolo hawawezi kukosea.
Lakini mimi nataka nikwambie,walipoweka kipengele cha kwamba alipe 100M na angalau mishahara ya miezi mitatu,waliamini hizo pesa hawezi kuzipata.
Kwa sasa ni utopolo tu ndio unawasumbua akili

Back
Top Bottom