Yaani mda mwingi unapotezwa kwa mpira wa bongo ambao hayna lolote la maana ni kukupa stress za bure ni wa hovyo mno huo mda ungeuwekeza kwenye vitu vyenye kua na faida kwako.Nimeona magazeti leo wanaongea sana, niwajulishe tu Fei anatakiwa kununua mkataba na sio kuvunja. Ukinunua unatumia kipengele cha 18, 1.2 na ukivunja unatumia 14 A.B ambacho unarudisha fedha ya usajili.
Katika vita hii niwahakikishie kama Azam hatolipa milion 480 Yanga atakuwa mshindi. Niwahakikishie, bila dola laki 2 Fei atakuwa anaangalia wenzie uwanjani.
Umeongea kisomi Sana.Kuvunja mbona rahisi tu, ni kama dejan vs simba na wengine walio fanya hivyo...
Kuvunja ni kukiuka yaliyo katika makubaliano ya mkataba...
Sasa ukivunja ndio hapo, una weza samehewa au kupuuzwa au kuwajibishwa...
Na yanga haipo tayari ata fei auvunje vipi mkataba au akiuke vipi mkataba na wamuwajibishe... haito kaa itokee sababu wana muitaji na wana taka pia kufanya biashara nae kwa kiwango wakitakacho wao...
Mchezaji ana weza kusubili... ligi ina kwenda kuisha msimu ujao 2022/23 na akaja kuondoka msimu unao fuata...!
Ni kukomoana bila tija... haya na ya manzoki yana fanana japo sio kwa kiwango hicho...
Yaani mchezaji wa milioni 480 ndio analipwa mshahara sh ngapi pale yanga? Kwa akili za uto unawezakuta mayele anathamani sawa na halaandNimeona magazeti leo wanaongea sana, niwajulishe tu Fei anatakiwa kununua mkataba na sio kuvunja. Ukinunua unatumia kipengele cha 18, 1.2 na ukivunja unatumia 14 A.B ambacho unarudisha fedha ya usajili.
Katika vita hii niwahakikishie kama Azam hatolipa milion 480 Yanga atakuwa mshindi. Niwahakikishie, bila dola laki 2 Fei atakuwa anaangalia wenzie uwanjani.
Kiasi gani analipwa ni makubaliano kati ya management yake na klabu. Tatizo siyo la klabu kwani kwenye biashara ni win win situation. Wao waliona zinatosha ndiyo maana walisaini mkataba hadi 2024.Yaani mchezaji wa milioni 480 ndio analipwa mshahara sh ngapi pale yanga? Kwa akili za uto unawezakuta mayele anathamani sawa na halaand
unaandika ujinga tu,hivi mfanyakazi akiamua kuacha kazi lazima mkubaliane ama nianayetaka kuacha kazi kupitia mkataba na kuangalia kipengele cha kuvunja mkataba unakifuata,imeshaKiasi gani analipwa ni makubaliano kati ya management yake na klabu. Tatizo siyo la klabu kwani kwenye biashara ni win win situation. Wao waliona zinatosha ndiyo maana walisaini mkataba hadi 2024.
Kuhusu kununua mkataba kama klabu bado inamhitaji mchezaji inayo haki ya kukataa na kanuni zinailinda klabu. Rejea jaribio la mwanzo la Sureboy kuondoka Azam lilivyozimwa.
Ili mchezaji au klabu iweze kuwa na haki ya kuvunja mkataba ni lazima upande mmoja uwe umekiuka makubaliano yaliyoko kwenye mkataba.Haiwezekani upande mmoja ukaamka asubuhi na kusema unavunja mkataba bila kueleza ni mambo gani yamekiukwa kwenye mkataba.waliosainiana.
Bila shaka wameanza kuingia kwenye siasa za mpira wa Bongo. Ngoja tuone mwisho wa huu mvutano wao.Hivi ni kwanin Azam wanataka shortcut?
Nauliza tu kujua sababu naamini wanajua vizuri taratibu za kuchukua mchezaji wa timu nyingine
Hakuna mkataba usio na kipengele Cha kuuvunja, kinachotakiwa wewe mvunjaji uelezee Sababu za kuuvunja uo mkataba na Sababu Yako iwe na mantiki.Kama kwenye mkataba wa Fei na Yanga palikuwepo na kipengele cha kuvunja mkataba, basi Fei ndio ame activate hiyo clause, mengine uliyoandika hapo ni story tu.
Sasa kama kuvunja mkataba hadi upande mmoja ukiuke vipengele vya mkataba Yale malipo ni ya nini waliyomuwekea fei endapo atahitaji kuvunja mkataba?Kiasi gani analipwa ni makubaliano kati ya management yake na klabu. Tatizo siyo la klabu kwani kwenye biashara ni win win situation. Wao waliona zinatosha ndiyo maana walisaini mkataba hadi 2024.
Kuhusu kununua mkataba kama klabu bado inamhitaji mchezaji inayo haki ya kukataa na kanuni zinailinda klabu. Rejea jaribio la mwanzo la Sureboy kuondoka Azam lilivyozimwa.
Ili mchezaji au klabu iweze kuwa na haki ya kuvunja mkataba ni lazima upande mmoja uwe umekiuka makubaliano yaliyoko kwenye mkataba.Haiwezekani upande mmoja ukaamka asubuhi na kusema unavunja mkataba bila kueleza ni mambo gani yamekiukwa kwenye mkataba.waliosainiana.
Ww unaona ni rahisi kwa Fei kuuvunja huo mkataba ila unasahau kuwa thamani yake ndiyo imesababisha ww kuona kuwa anauvunja kirahisi.Hakuna mkataba usio na kipengele Cha kuuvunja, kinachotakiwa wewe mvunjaji uelezee Sababu za kuuvunja uo mkataba na Sababu Yako iwe na mantiki.
Kama ingekua wachezaji woote wanavunja Mikataba Kwa njia iyo ya Fei Toto wachezaji wengi wange fanya ivyo.
Shida iliyopo ni umbumbumbu katika tafsiri ya mambo.
Pale uto ni vigumu sana kumwacha mchezaji apate fursa zaidi.Yaani mchezaji wa milioni 480 ndio analipwa mshahara sh ngapi pale yanga? Kwa akili za uto unawezakuta mayele anathamani sawa na halaand
Timu yenye mambo ya kishirikina Kwa Africa na Tanzania inafahamika, Timu yenye tabia ya kupulizia madawa kwenye vyumba vya kubadilishia nguo vya wapinzani Kwa Africa inafahamika, Timu yenye kutoa makafara na kuingia na mapaka uwanjani inafahamika na si timu nyingine zaidi ya Simba fc, Ngada fc, Mbumbumbu fc,Moto fc.[emoji3][emoji3]Pale uto ni vigumu sana kumwacha mchezaji apate fursa zaidi.
Wana miiko ya kichawi sana ni vile tu wengi wanaocheza hapo ni wanafamilia za kichawi
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Tatizo lako unadhani mikataba ya wachezaji wote inafanana.Hakuna mkataba usio na kipengele Cha kuuvunja, kinachotakiwa wewe mvunjaji uelezee Sababu za kuuvunja uo mkataba na Sababu Yako iwe na mantiki.
Kama ingekua wachezaji woote wanavunja Mikataba Kwa njia iyo ya Fei Toto wachezaji wengi wange fanya ivyo.
Shida iliyopo ni umbumbumbu katika tafsiri ya mambo.
👍👍Kama kwenye mkataba wa Fei na Yanga palikuwepo na kipengele cha kuvunja mkataba, basi Fei ndio ame activate hiyo clause, mengine uliyoandika hapo ni story tu.