Bila haya Bidada ana miaka 33 anataka nimwoe. Nimemcheck usoni yupo serious kabisa

Ndiyo muda mwingine mnadanganywa mtu miaka 34 anakuambia ana 26 na wadada wa siku hizi wanazingatia mlo..gym kwa sana kutengeneza body utomjua kama age imeenda.

Kufika miaka 30 bila kuolewa sio dhambi wala haimaniishi kama katumika sana....
Kasome post ya madm B
 
Ndiyo muda mwingine mnadanganywa mtu miaka 34 anakuambia ana 26 na wadada wa siku hizi wanazingatia mlo..gym kwa sana kutengeneza body utomjua kama age imeenda.

Kufika miaka 30 bila kuolewa sio dhambi wala haimaniishi kama katumika sana....
Shoga umebadili id au
 
Ww gudume kumbe ni mkubwa hivo,nilijuaga ww ni mtoto sana.kumbe mbaba umeniacha more than 10 yrs
 
The bad you see, the good I see !!! Niforwadie huyo mdada kama humtaki.
 
Ukwel mchungu
 
Pamoja na yote aliyoandika, ukimsoma vizuri mleta uzi infact between the lines utagundua kwamba anatafuta manzi kijanja.

Yaani badala ya kuleta uzi wa moja kwa moja kwamba anamtaka manzi mwenye sifa A, B, C etc etc yeye kaamua kuja na style ya kuponda huku akitaja vigezo anavyotaka. Hongera sana mkuu.
 
ila ni kweli,wadada wangejua muda wa kutafuta mme wa maisha ni wakiwa na umri chini ya 26,sasa wao huo muda wanasema wanakula ujana wanakuja kushtuka muda ushayoyoma kitambo,bila kujua siku hizi mambo yame change.mtu anakula ujanaaa huko na wengine,disco na yeye,fiesta na yeye badae mwishoni anakuja kukuganda na kuhangaika na kuanza kushinda makanisani.
Wadada wajanja walishashtuka kitaaaambo saaaaana,saiv wana ndoa zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…