mtalimaK
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 245
- 232
Kasome post ya madm BNdiyo muda mwingine mnadanganywa mtu miaka 34 anakuambia ana 26 na wadada wa siku hizi wanazingatia mlo..gym kwa sana kutengeneza body utomjua kama age imeenda.
Kufika miaka 30 bila kuolewa sio dhambi wala haimaniishi kama katumika sana....