Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,636
- 220,438
Ukitaka kununua nyumba, kiwanja, shamba, gari na hata kupata ajira au elimu ya juu ni lazima uwe na vitambulisho ikiwemo kadi na namba ya NIDA. Maana yake ni kwamba ukishakua na kadi ya NIDA wewe ni mpiga kura wa CCM utake usitake.
Ninakumbuka Ufunuo wa Yohana kuwa siku za mwisho hutaweza kuuza wala kununua bila kuwa na alama ya mpinga Kristu.
Ninakumbuka Ufunuo wa Yohana kuwa siku za mwisho hutaweza kuuza wala kununua bila kuwa na alama ya mpinga Kristu.