Wapi kaipingwa kristo,Ukitaka kununua nyumba, kiwanja, shamba, gari na hata kupata ajira au elimu ya juu ni lazima uwe na vitambulisho ikiwemo kadi na namba ya NIDA. Maana yake ni kwamba ukishakua na kadi ya NIDA wewe ni mpiga kura wa CCM utake usitake.
Ninakumbuka Ufunuo wa Yohana kuwa siku za mwisho hutaweza kuuza wala kununua bila kuwa na alama ya mpinga Kristu.
unakuaje mpiga kura wa ccm?Ukitaka kununua nyumba, kiwanja, shamba, gari na hata kupata ajira au elimu ya juu ni lazima uwe na vitambulisho ikiwemo kadi na namba ya NIDA. Maana yake ni kwamba ukishakua na kadi ya NIDA wewe ni mpiga kura wa CCM utake usitake.
Ninakumbuka Ufunuo wa Yohana kuwa siku za mwisho hutaweza kuuza wala kununua bila kuwa na alama ya mpinga Kristu.
Wote wamepiga kula yaani hapo anatembea na kashaambiwa idadi zake za kuraNamba za NIDA wanazo mpaka Wanyarwanda na wakongo kibao tu
Ni uzembe wa MAMLAKA. Pale walipianza kuuza badala ya kutoa vitambulisho.Huu ni uzembe wa nani kama wananchi wa Burundi na Rwanda wana kitambulisho cha National Identification Authority ya Tanzania?
Kwahiyo mkuu wewe nida unayo au huna?Ukitaka kununua nyumba, kiwanja, shamba, gari na hata kupata ajira au elimu ya juu ni lazima uwe na vitambulisho ikiwemo kadi na namba ya NIDA. Maana yake ni kwamba ukishakua na kadi ya NIDA wewe ni mpiga kura wa CCM utake usitake.
Ninakumbuka Ufunuo wa Yohana kuwa siku za mwisho hutaweza kuuza wala kununua bila kuwa na alama ya mpinga Kristu.