Snipes
JF-Expert Member
- Jul 2, 2013
- 9,165
- 16,791
kama mnajijua gari zenu ndogo msianze kazi hakikisheni mna gari za kutosha sababu Mbagala tunashida ya usafiri zaidi ya huko Mbezi, kwa jinsi ambavyo hatuna ustaarabu hatuwezi kukaa masaa mawili bila kupanda gari tutavunja hivyo vyuma bure mkaja kujuta ninachomaanisha abiria asikae zaidi ya dakika 20 kusubiria gari