Bila kadi sasa hupandi Mwendokasi. Waziri Mchengerwa awataka DART kutoa fursa Kwa Watanzania kuwekeza kwenye Mwendokasi

Bila kadi sasa hupandi Mwendokasi. Waziri Mchengerwa awataka DART kutoa fursa Kwa Watanzania kuwekeza kwenye Mwendokasi

kama mnajijua gari zenu ndogo msianze kazi hakikisheni mna gari za kutosha sababu Mbagala tunashida ya usafiri zaidi ya huko Mbezi, kwa jinsi ambavyo hatuna ustaarabu hatuwezi kukaa masaa mawili bila kupanda gari tutavunja hivyo vyuma bure mkaja kujuta ninachomaanisha abiria asikae zaidi ya dakika 20 kusubiria gari
 
Serikali ya kwapua chako mapema mnachokiweza kwa ufanisi ni wizi wa kura, ufisadi na utekaji tofauti na hapo hakuna mnachoweza kukisimamia kikafanikiwa
 
Sijawahi kuona Usafiri WA Shida na yaani kama Mabasi ya Mwendokasi hasa Jioni na Asubuhi. Magari tunajazana kama gunia za Mahindi. Pyeeee!!😌😌🙆🙆
 
Kwanini Serikali haibinafsishi usafiri wa mabasi ya mwendokasi Dar?Kila siku makelele ya upungufu wa mabasi,ufumbuzi wa kudumu ni kubinafshisha
 
Tamthilia mpya mjinii, Watazamajii mpoooo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hawa jamaa komedi sana wanaanzaga kwa mbwembwe sana,kadi za mwanzoni ziliishiaa wapi

Ova
 
Miradi ikiendeshwa kwa usimamizi wa Serikali haina tija kwakuwa hakuna watu wenye weledi na dhamira thabiti katika utendaji wa majukumu yao ,badala yake ni kuendekeza ubinafsi ambao matokeo yake ni kufuja Mali na kujilimbikizia kipato.
Uko sahihi mkuu 🤝
 
Back
Top Bottom