Walishindwana....na watz waliwachamba sanaMwarabu si alipewa huo mradi mbona Mchengerwa anataka watu binafsi tena wafanye uwekezaji?!
Hilo ndo swali la Msingi. Halafu hii mpaka uzinduzi rasmi?Zile kadi za mwanzo zilienda wapi
Mimi ninayo Hadi Leo. Sijui tutaitupa au??Zile kadi za mwanzo zilienda wapi
Nchi inanuka rushwa tupuCumamae afrika pagumu sana trumo hakukosea ile sentensi yake
Hawa jamaa komedi sana wanaanzaga kwa mbwembwe sana,kadi za mwanzoni ziliishiaa wapiTamthilia mpya mjinii, Watazamajii mpoooo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uko sahihi mkuu π€Miradi ikiendeshwa kwa usimamizi wa Serikali haina tija kwakuwa hakuna watu wenye weledi na dhamira thabiti katika utendaji wa majukumu yao ,badala yake ni kuendekeza ubinafsi ambao matokeo yake ni kufuja Mali na kujilimbikizia kipato.
Hizi zitapotea kama za mwanzoZile kadi za mwanzo zilienda wapi
Wanaanzaga kwa mikwala hawaZile Card za mwanzo si waliziondoa ili upigaji uwe raisi. Hapa luna jipya gani tena. Waache kutuona mazuzu. Hamna mradi utadumu bila usimamizi thabiti.
Hamna kituWanaanzaga kwa mikwala hawa
Ova