Bila Kanda ya Ziwa hamna Ushindi 2025

Bila Kanda ya Ziwa hamna Ushindi 2025

Acheni uongo kanda ya ziwa ina wananchi 33% ila wapigakura 28% sasa wanaamuaje Rais? Pia uchaguzi wa 2020 Kanda ya ziwa ilikua na turnout ndogo kuliko kanda zingine.

NB,: CCM haitegemei kura za kanda yoyote kubaki madarakani ingekua hivyo wangeshatolewa 2010 ambako kanda ya ziwa ilimkataa kabisa JK.
Jibu ni hilo
 
Ilimkataa jk lkn ikaipigia kura ccm.
 
Ingekua ni hivyo magufuli asingepora uchaguzi.na kama mna uhakika mko vizuri acheni porojo.weka katiba mpya yenye tume huru ya uchaguzi wananchi wataamua.tofauti na hapo nikujisifia ujinga.
 
Kanda ya Ziwa ndio inaamua nani ni nani katika Siasa za Tangonyeka. Mwenezi ndio kioo cha Chama Chetu. Hivyo kumrejesha DAB pale kutahakikishia mboga mboga Ushindi wa kishindo 2024 na 2025. Maridhiano 'feki' tupa kule
kanda ya ziwa ambako hata yakiibiwa kura mangosha huwa yamesimama tu yamekenua mimeno kama punda huko, hata hamuwatishi kwa lolote.
 
Kanda ya Ziwa ndio inaamua nani ni nani katika Siasa za Tangonyeka. Mwenezi ndio kioo cha Chama Chetu. Hivyo kumrejesha DAB pale kutahakikishia mboga mboga Ushindi wa kishindo 2024 na 2025. Maridhiano 'feki' tupa kule
Hivi Bado Kuna wapumbavu wanaamini huu ujinga?
 
Acheni uongo kanda ya ziwa ina wananchi 33% ila wapigakura 28% sasa wanaamuaje Rais? Pia uchaguzi wa 2020 Kanda ya ziwa ilikua na turnout ndogo kuliko kanda zingine.

NB,: CCM haitegemei kura za kanda yoyote kubaki madarakani ingekua hivyo wangeshatolewa 2010 ambako kanda ya ziwa ilimkataa kabisa JK.
Hii nchi kikubwa ni upite kupitia ccm,,,,,, upinzani wanasindikizaga tu..... Hii ya sasa imeangaliwa zaidi mpasuko wa chama sio mambo ya kura za 2025
 
Kama hali ya umeme itaendelea kama ilivyo basi Rais atapata kura chache sana Kanda ya Ziwa na hasa ukizingatia suala hili la DP World bado halijakaa sawa. Bado Wakatoliki hawajalikubali.
 
Bila Wizi wa Kura CCM haiwezi kushinda uchaguzi wa Uraisi na Ubunge.
 
Kanda ya Ziwa ndio inaamua nani ni nani katika Siasa za Tangonyeka. Mwenezi ndio kioo cha Chama Chetu. Hivyo kumrejesha DAB pale kutahakikishia mboga mboga Ushindi wa kishindo 2024 na 2025. Maridhiano 'feki' tupa kule.
Ndiyo zako!
 
Tabora and Katavi is Sukumaland in extension. And Sukumaland is the core of lake Zone.

Sent from my Pixel 3a XL using JamiiForums mobile
The Sukuma are also in Chunya Mbeya can we call Chunya KandaYaZiwa then! Kanda Ya Ziwa ni Rock city, Kagera, Mara, Shinyanga ,Geita na ule mkoa mpya Simiyu LakeZone naijua fresh san kwa taarfa I got my O'level education in Kahama na nlibahatika kufka had Geita.
 
Back
Top Bottom