Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Jibu ni hiloAcheni uongo kanda ya ziwa ina wananchi 33% ila wapigakura 28% sasa wanaamuaje Rais? Pia uchaguzi wa 2020 Kanda ya ziwa ilikua na turnout ndogo kuliko kanda zingine.
NB,: CCM haitegemei kura za kanda yoyote kubaki madarakani ingekua hivyo wangeshatolewa 2010 ambako kanda ya ziwa ilimkataa kabisa JK.