Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Jibu ni hiloAcheni uongo kanda ya ziwa ina wananchi 33% ila wapigakura 28% sasa wanaamuaje Rais? Pia uchaguzi wa 2020 Kanda ya ziwa ilikua na turnout ndogo kuliko kanda zingine.
NB,: CCM haitegemei kura za kanda yoyote kubaki madarakani ingekua hivyo wangeshatolewa 2010 ambako kanda ya ziwa ilimkataa kabisa JK.
Ilimkataa jk lkn ikaipigia kura ccm.Acheni uongo kanda ya ziwa ina wananchi 33% ila wapigakura 28% sasa wanaamuaje Rais? Pia uchaguzi wa 2020 Kanda ya ziwa ilikua na turnout ndogo kuliko kanda zingine.
NB,: CCM haitegemei kura za kanda yoyote kubaki madarakani ingekua hivyo wangeshatolewa 2010 ambako kanda ya ziwa ilimkataa kabisa JK.
Na singida pia.Ongezea Tabora na Katavi mzee
Ila zimeshikiliwa na makabira ya kanda ya ziwa.Tabora na Katavi hazipo Kanda ya Ziwa.
Magufuli yule alikuwa ni wa nchi nzima.alikuwa akiungwa mkono ba makabira yoote Tanzania nzima.Siasa Za Kenya Tanzania haziko applicable.Hivi Unajua Hara Magu jimboni kwake tu alikuwa hakubaliki? Na Magufuri alikuwa hawezi ku comand kanda ya ziwa yote,Pamoja na umarufu wake ule.
Sio kweli, bukoba, ilemela, nyamagana, Musoma yote yalienda upinzani hapo bado Tarime, ukerewe, Maswa magharibi na mashariki, meatu, Bukombe, Biharamulo yaliangukia upinzani.Ilimkataa jk lkn ikaipigia kura ccm.
Hivi Kigoma haihesahibiki kwenye nyonyo zone?Siyo kweli. Kanda ya Ziwa ina 29% ya watanzania wote.
Kanda ya Ziwa ina mikoa 6: Mwanza, Kagera, Geita, Mara, Simiyu na Shinyanga.
kanda ya ziwa ambako hata yakiibiwa kura mangosha huwa yamesimama tu yamekenua mimeno kama punda huko, hata hamuwatishi kwa lolote.Kanda ya Ziwa ndio inaamua nani ni nani katika Siasa za Tangonyeka. Mwenezi ndio kioo cha Chama Chetu. Hivyo kumrejesha DAB pale kutahakikishia mboga mboga Ushindi wa kishindo 2024 na 2025. Maridhiano 'feki' tupa kule
Hivi Bado Kuna wapumbavu wanaamini huu ujinga?Kanda ya Ziwa ndio inaamua nani ni nani katika Siasa za Tangonyeka. Mwenezi ndio kioo cha Chama Chetu. Hivyo kumrejesha DAB pale kutahakikishia mboga mboga Ushindi wa kishindo 2024 na 2025. Maridhiano 'feki' tupa kule
Hii nchi kikubwa ni upite kupitia ccm,,,,,, upinzani wanasindikizaga tu..... Hii ya sasa imeangaliwa zaidi mpasuko wa chama sio mambo ya kura za 2025Acheni uongo kanda ya ziwa ina wananchi 33% ila wapigakura 28% sasa wanaamuaje Rais? Pia uchaguzi wa 2020 Kanda ya ziwa ilikua na turnout ndogo kuliko kanda zingine.
NB,: CCM haitegemei kura za kanda yoyote kubaki madarakani ingekua hivyo wangeshatolewa 2010 ambako kanda ya ziwa ilimkataa kabisa JK.
PoleUsituzuge kura za CCM wanapigiwa na tume yao
Political, economically and Socially Tabora na Kativi ni attachment ya kanda ya ziwa.Siyo kweli. Kanda ya Ziwa ina 29% ya watanzania wote.
Kanda ya Ziwa ina mikoa 6: Mwanza, Kagera, Geita, Mara, Simiyu na Shinyanga.
Tabora and Katavi is Sukumaland in extension. And Sukumaland is the core of lake Zone.Tabora na Katavi tangu lin ikawa lakeZone ww[emoji28] hii nchi watu hata hamjui kbs daah!!
Ndiyo zako!Kanda ya Ziwa ndio inaamua nani ni nani katika Siasa za Tangonyeka. Mwenezi ndio kioo cha Chama Chetu. Hivyo kumrejesha DAB pale kutahakikishia mboga mboga Ushindi wa kishindo 2024 na 2025. Maridhiano 'feki' tupa kule.
The Sukuma are also in Chunya Mbeya can we call Chunya KandaYaZiwa then! Kanda Ya Ziwa ni Rock city, Kagera, Mara, Shinyanga ,Geita na ule mkoa mpya Simiyu LakeZone naijua fresh san kwa taarfa I got my O'level education in Kahama na nlibahatika kufka had Geita.Tabora and Katavi is Sukumaland in extension. And Sukumaland is the core of lake Zone.
Sent from my Pixel 3a XL using JamiiForums mobile