Bila Kanda ya Ziwa hamna Ushindi 2025

Bila Kanda ya Ziwa hamna Ushindi 2025

Bila umeme, maji, barabara na vituo vya afya kanda ya ziwa tuna jambo letu kwenye kila kijiji kisicho na umeme wala maji hadi kufikia 2024. Mwenyekiti wa mtaa chinja, DIWANI wa CCM CHINJA, Mbuge wa FISIEMU CHINJA, URAIS CHINJA.

Vikao vya ndani vinaendelea na mafanikio yanaonekana. Tutapigia kura hata jiwe dhidi ya mwanaChukua Chako Mapema aliyeshindwa kuhakikisha tunapata umeme, maji na zahati. Jimbo la Wapinzani waweke hata jiwe litamshinda mwarabu. Diwani wa Puni na wenyeviti wote wa vijiji hususan Buyubi waanze kulima matikiti maana tumeshamaliza mchezo. Pale Didia bila kituo cha afya na barabara za mitaa mambo ni moto.
 
Back
Top Bottom