Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Ngoja waje MkuuUkishindana na kanisa Katoliki ni sawa na mtu kupigisha mguu kwenye jiwe, mguu utaumia na jiwe litabaki lilivyo.
Yes, kuna ma jesuit, ila kwa Mungu hawafui dafuUkishindana na kanisa Katoliki ni sawa na mtu kupigisha mguu kwenye jiwe, mguu utaumia na jiwe litabaki lilivyo.
Martin Luther alipata shida kueneza Ulutheri na siyo Ukiristohili kanisa lilijaribu kufuta ukristo likashindwa, liliua watu mamilioni kwa mamilioni
miaka fulani hapo kati papa aliomba radhi
wadanganye wasiojua historia
kuna watu walipata shida sana kusimamisha ukristo, akina Martin Luther wa kkkt
Umesahau kuwa huo ukristo wako hata uislam ndo dini zilizotenda maovu hakuna mfano. Rejea ukristo ulivyotumika kueneza ukoloni Afrika mbali na yale mauaji yake ya inquisition yaliyoua maelfu ya watu kikatili huko ulaya. Rejea vita ya badr na upuuzi mwingine mwingi wa kidini mbali na ulawiti unaoendelea, unyakuzi wa ardhi, udumazaji akili za watu wetu, wizi wa majina asilia, kukandamiza mila asilia, kutoza watu fedha na kuwasababishia umaskini na mengine mengi.Wadau hamjamboni nyote?
Niende kwenye mada Moja Kwa Moja
Bila Kanisa Katoliki:
Ukiristo usingeenea Duniani
Wakiristo wangeishi kwenye mateso makubwa
Ukiristo usingegeshimika
UKIRISTO ungefutika na dini nyingine ingetawala
Kanisa Katoliki kwa habari ya hapa Duniani ndiye Mlinzi wa Ukiristo
Ili kupambana na Ukiristo lazima kwanza upambane na kuushinda Ukatoliki
Karibuni tujadili kwa hoja
NB: lugha zisizo na staha hazikubaliki na ikibidi Uzi huu utafutwa
Catholic ilizaaje Uislam?Kanisa katoliki ndio lililoua ukristo wa kweli duniani. Katoliki liligeuzwa kuwa dini ya Nchi, wengi wasiowakatoliki waliuwawa. Middle east yote ilikua christian land, Morocco, Algeria na Egypt. Zilikua christian countries. Catholic chini ya utawala wakiimula uliua na kuumiza wengi. Ndipo ulipotokea uislamu kama mkombozi wa mateso ya Catholics. Ukristo ulikuwepo,kabla ya ukatoliki na ulivurugwa na tawala zilizo kuwa chini ya Catholic. Wanakuja watu kama Martin Luther n.k kuuamusha ukristo iliuwawa na Catholic. Leo hii uislamu usingekuwepo duniani lakini Catholic ilizaa Islamic. Usidanganye watu.
Kwa kuuwezesha kutumia maandiko yake torati na mengine kujihalalisha. Angalia nani alimuibua Adam na Eva aka Hawa kwa waislam. Kimsingi, ukristo ndiye baba na mama wa uislam. Na kimsingi, quran ni biblia iliyoandikwa kishairi. So simpo.Catholic ilizaaje Uislam?
Haya Ni maoni yako,,,,au kwa mujibu wa vitabu?Kwa kuuwezesha kutumia maandiko yake torati na mengine kujihalalisha. Angalia nani alimuibua Adam na Eva aka Hawa kwa waislam. Kimsingi, ukristo ndiye baba na mama wa uislam. Na kimsingi, quran ni biblia iliyoandikwa kishairi. So simpo.
Kwani wewe umeandikwa katika kitabu gani hadi upate uhalali wa kuwa halisi? Kama unaijua historia ya ukoloni, ukristo na uislam, hutakuwa na guts ya kuuliza majibu kama haya. Nashauri uulize maswali mwananguHaya Ni maoni yako,,,,au kwa mujibu wa vitabu?
Uikristo ndio baba na Mama wa Uislam,hapo ndipo unaniacha mdomo wazi.Kwani wewe umeandikwa katika kitabu gani hadi upate uhalali wa kuwa halisi? Kama unaijua historia ya ukoloni, ukristo na uislam, hutakuwa na guts ya kuuliza majibu kama haya. Nashauri uulize maswali mwanangu
Ndo ukweli wenyewe japo mchungu mwanangu. Ndiyo maana ukristo hauutambui uislam lakini uislam unautambua na kuuheshimu ukristo. Ndizo sifa za mzazi na mtoto. Angalia hata waganganjaa wa mihadhara. Mara nyingi hutumia biblia kufanya biashara yao lakini si quran.Uikristo ndio baba na Mama wa Uislam,hapo ndipo unaniacha mdomo wazi.
Hujaisoma historia, alieneza Ukristo na sio Ulutheri.Martin Luther alipata shida kueneza Ulutheri na siyo Ukiristo
Hapana,,,hapana,, hapana.Ndo ukweli wenyewe japo mchungu mwanangu. Ndiyo maana ukristo hauutambui uislam lakini uislam unautambua na kuuheshimu ukristo. Ndizo sifa za mzazi na mtoto. Angalia hata waganganjaa wa mihadhara. Mara nyingi hutumia biblia kufanya biashara yao lakini si quran.