Bila Kanisa Katoliki, Ukristo ungefutika duniani na Wakristo wangeishi kwenye mateso makubwa

Bila Kanisa Katoliki, Ukristo ungefutika duniani na Wakristo wangeishi kwenye mateso makubwa

Hakika Kanisa Katoliki ndio msingi na mlinzi wa Imani Kikristo duniani.
 
Uikristo ndio baba na Mama wa Uislam,hapo ndipo unaniacha mdomo wazi.
Sio Ukristo,bali Catholic [RC] ndiyo iliyoanzisha uislamu, lengo lilikuwa ni kukata/kupunguza makali ya Wakristo wa kweli/halisi waliokuwa wanaupinga Ukatholiki [kwa maana ya taasisi/mamlaka]iliyokuwa imeingiza desturi zao za kipagani kwenye dini/imani ya kikristo.
 
Hili kanisa lilijaribu kufuta ukristo likashindwa, liliua watu mamilioni kwa mamilioni. Miaka fulani hapo kati papa aliomba radhi. Wadanganye wasiojua historia. Kuna watu walipata shida sana kusimamisha ukristo, akina Martin Luther wa kkkt
we kweli ni mkunduge,si uweke ukweli unaoujua
 
Hakika Kanisa Katoliki ndio msingi na mlinzi wa Imani Kikristo duniani.
Usijidanganye ndugu.Jizoeshe kusoma vitabu ili uujue ukweli,upate maarifa pia.
Kabla ya Ukatholiki [Rumi ya kidini],kulikuwa na serikali ya Rumi ya kipagani iliyotesa na kuuwa mitume wa KRISTO [YESU],Petrol,Yohana,Paulo n.k.pamoja na waumini wengi wa kikristo.Baadae ulikuja utawala [ufalme] mwingine uliotoa uhuru wa kuabudu,ila kwa makubaliano/masharti;
1/.Siku ya ibada iwe ni j2=siku ya mungu jus,=siku ya kwanza ya juma.
2/.Wakubali, baadhi ya desturi zao [Rumi]ziingizwe kwenye taratibu za ibada, pamoja na sikukuu zao kama krismas,pasaka n.k
3/. Ibada ya bikira Maria=ikiwakilisha mungu mke wa kirumi, pamoja na ibada ya wafu.Zama hizi ndiyo ilikuwa mwanzo wa Upapa,ambao ulikuwa na mamlaka ya kidini na serikali [kisiasa]na ikaanzishwa ROMAN CATHOLIC [Rumi Ulimwenguni],watu walikatazwa kusoma na hata kumiliki Biblia,walipewa mafundisho ya uongo kama katekism,misale ya waumini n.k.
Roman Catholic ilisababisha mauaji makuu duniani mpaka mwaka 1798-1799 ambapo jeshi la Ufaransa chini ya Jemedari Napoleon walipomkamata papa na akauliwa gerezani,mauaji yalikoma kwa muda.
Mauaji ya rejareja yalianza tena baada ya Upapa kurudi tena.Vita vinavyoendelea sehemu mbali mbali duniani, vikundi na matukio ya kigaidi, Magonjwa ya milipuko,ebola,mpox ,HIV, COVID 19,n.k.ni kazi ya Catholic ikiwemo mauaji ya kimbari ya Rwanda,machafuko ya DRCongo n.k. zote ni kazi za Catholic.Haya yote huwezi kuyajua ikiwa kazi yako ni kusomewa na kukaririshwa,soma vitabu ujue uhusiano wa U Catholic na Uislamu n.k.
 
Hili kanisa lilijaribu kufuta ukristo likashindwa, liliua watu mamilioni kwa mamilioni. Miaka fulani hapo kati papa aliomba radhi. Wadanganye wasiojua historia. Kuna watu walipata shida sana kusimamisha ukristo, akina Martin Luther wa kkkt

Unasema uongo. Wengine wote tarehe za kuanza makanisa yao zipo. Katoliki ndio kanisa la kwanza. Kama sio kubadili hiki au kile, kutoka kwenye ukatoliki, then hakuna kanisa.

Haya makanisa ya sasa, sio makanisa. Ni maduka kama yale ya Liquor Store, vilainishi na kadhalika. Ndio maana unaona wanakengeuka. Ukimsikiliza Geodervi, Mzee wa Upako, Kakobe na soon itakuwa wengineo, hawana tena pumzi. hawajielewi. Nguvu zao zimekata wanatapatapa
 
Yan sifa zinaenda kwa kanisa
Unadhani mungu angeleta ukristo alaf auache upotee
Unajua nebukadreza alikuwa mpagani kafiri na Mungu alimtumia kufanya kazi maalumu

Ukatoliki sio ukristo na haujawahi kuwa ukristo
Ni upagani uliopindukia bora waabudu miti.


Waliofanya wakristo wateseke ni roman
Wafia imani waliuwawa chini ya utawala wa kirumi na kanisa la kirumi limeua wakristo wengi waliolipinga kwa upagani wake
Pia mungu hakuleta ukristo ili watu wale maisha
Alisema sijaja kuleta amani,sehem nyingine anasema kama waliufanyia hv mti mbichi vipi nyinyi mti mkavu.

Sifa ya ukristo halisi ni kutoheshimika kudharauliwa
Muanzilishi na wote waliomfuata walidharaulika mpaka kufa

Ukiona ukristo wako hau lick na biblia jua kuna shida na haupo njia sahihi

Unatakiwa ujue njia ni nyembamba na imesonga na wanaoiona ni wachache mnoo.
Kumbuka roman ni kundi kubwa sana,na papa akiwa mpinga kristo halisi,na ibada za sanamu,na kuomba watu waliokufa,ibada za mapapa na mifupa ya mapapa waliokufa.


UPAGANI
 
Back
Top Bottom