Hizo zote zimekopi mambo ya wayahudi hakuna mwenye hati miliki hapo,,,,,......tena uislam unaweza kua na historia ya uhakika zaidi ya ukristo huu wa warumi maana wayahudi na waarabu waliishi pamoja kwa miaka mingi sana kuliko mzungu alivyoishi na myahudi......na huu ukristo wa wamagharibi upo tofauti sana na ule ukristo asilia wa jamii za pande ile............ukristo ambao kidogo umebaki na chembechembe za kale ni orthodox hasa wale oriental ila huu wa wamagharibi wazungu wameuchakachua vya kutosha,,,,.....wakristo wa zamani walikua wanasujudu pia kama waislam na pia watu wote ndani ya eneo la kuabudu walikua wanatizama upande wa altare hata waongoza ibada walikua wanageukia upande wa altare na sio kama siku hizi muongoza ibada anatizamana na waumini,,,,,,hizo tamaduni zote ukiangalia zilikua za jamii za watu wa mashariki ya kati, wayahudi wakiwemo..................Na orthodox wanawaita wakatoliki wakirumi na makanisa yote yaliyotokea kwao heretics( wanaeneza mafundisho ya uongo)