Gavana
JF-Expert Member
- Jul 19, 2008
- 33,637
- 8,947
Tumekusikia Sasa jibu lile swali languMuhammad alitengenezwa na Waraqah ndugu yangu
Weka ushahidi wa vifungu vya biblia, wapi Yesu alisulubiwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumekusikia Sasa jibu lile swali languMuhammad alitengenezwa na Waraqah ndugu yangu
Yesu yupi?Tumekusikia Sasa jibu lile swali langu
Weka ushahidi wa vifungu vya biblia, wapi Yesu alisulubiwa
Yeyote atakayekuwa anakimiliki.Naomba utumie Quran ijisimamie yenyewe.Tofauti na hapo tutaanza kuamini kuwa Waraqah etal walitumwa toka Vatican kukamilisha missionKwani biblia ni kitabu cha nani?
Yesu unayemjua weweYesu yupi?
Kwani biblia ni kitabu cha nani?Yeyote atakayekuwa anakimiliki.Naomba utumie Quran ijisimamie yenyewe.Tofauti na hapo tutaanza kuamini kuwa Waraqah etal walitumwa toka Vatican kukamilisha mission
Cha wakristoKwani biblia ni kitabu cha nani?
Lete ushahidi wa ayaCha wakristo
Ubishani wa kwenye gahawa si type yangu.Hata mtoto wa darasa la saba anajua kwamba biblia ni kitabu kinachotumiwa na wakristo.Kuhusu haya kuna vitabu na injili nyingi sana hazijajumuishwa kwenye hiyo maktaba.sasa tukitaka kila kitu kiwe na haya sidhani kama tutafika.Biblia yenyewe inakili kuwa kuna mambo mengi sana yamefanyika lakini hayajawekwa humo.labda kama una hoja ya kupinga hilo nikukaribisheLete ushahidi wa aya
Ndiyo umeleta ushahidi wa aya kuwa kitabu cha Biblia ni cha wakristo?Ubishani wa kwenye gahawa si type yangu.Hata mtoto wa darasa la saba anajua kwamba biblia ni kitabu kinachotumiwa na wakristo.Kuhusu haya kuna vitabu na injili nyingi sana hazijajumuishwa kwenye hiyo maktaba.sasa tukitaka kila kitu kiwe na haya sidhani kama tutafika.Biblia yenyewe inakili kuwa kuna mambo mengi sana yamefanyika lakini hayajawekwa humo.labda kama una hoja ya kupinga hilo nikukaribishe
Nipe elimu tafadhaliNdiyo umeleta ushahidi wa aya kuwa kitabu cha Biblia ni cha wakristo?
Ushahidi unao au huna , si useme tuNipe elimu tafadhali
Naupenda ukristo ukatoliki wangu milele[emoji3590]
Umeongea ukweli, Ukristo ulishakufa kitambo kabla ya Uisilamu, uliopo sasa ni UromaniKanisa katoliki ndio lililoua ukristo wa kweli duniani. Katoliki liligeuzwa kuwa dini ya Nchi, wengi wasiowakatoliki waliuwawa. Middle east yote ilikua christian land, Morocco, Algeria na Egypt. Zilikua christian countries. Catholic chini ya utawala wakiimula uliua na kuumiza wengi.
Ndipo ulipotokea uislamu kama mkombozi wa mateso ya Catholics. Ukristo ulikuwepo,kabla ya ukatoliki na ulivurugwa na tawala zilizo kuwa chini ya Catholic. Wanakuja watu kama Martin Luther n.k kuuamusha ukristo iliuwawa na Catholic. Leo hii uislamu usingekuwepo duniani lakini Catholic ilizaa Islamic. Usidanganye watu.
Ukijifanya Unajua mbele ya wanaojua utaonekana mjinga,Mke wa kwanza wa Bwana Muhammad alikuwa mkristu mkatoliki, kupitia huyu mwanamke Muhammad akawa anachota baadhi ya vifungu vya BIBLIA TAKATIFU kwa maelekezo ya kitaalamu ya Bi khadija mkatoliki na kuja kuvijazia kwenye kitabu cha kuran, akaongezea na hadithi za hapa na pale ndio Kuran ikapatikana.
Wahusika wenyewe hilo hawalijuiSiyo kwamba kuua ukristo ilishindikana ndo ule msemo wa if you cant beat them join them ukatumika?
Inasemekana hapo mwanzo palikuwapo na ukristo na wapagani waliupinga na waabudu sanamu waliupinga sana, baadae ilionekana kuwa pamoja na kuuwa na kutesa bado unasambaa ndo ikaamuliwa ukristo uwe controlled kupitia mwavuli mmoja na ndipo ukristo ukawa ukatoliki na baadae ulutheri ukazaliwa na wengine wakafata ila kabla hapakuwa na ukatoliki, palikuwa na ukristo. Ukatoliki ni matokeo ya upagani kufanikiwa kuukontrol ukristo.
Labda sicho wanachofundishwa.Wahusika wenyewe hilo hawalijui
Kwani Yesu alikuwa dini gani?Kwani ukristo ni dini? Imeandikwa wapi ?