Gavana
JF-Expert Member
- Jul 19, 2008
- 33,637
- 8,947
Mkuu umenijibu kwa makosa Mimi si mkristolete andiko kutoka kwenye biblia yako kama unasema kweli lakini huyu hapo chini ni kiongozi wako akiabudu sanamu mungu wakoView attachment 2512558
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu umenijibu kwa makosa Mimi si mkristolete andiko kutoka kwenye biblia yako kama unasema kweli lakini huyu hapo chini ni kiongozi wako akiabudu sanamu mungu wakoView attachment 2512558
Wacha kudanganya, Aya hiyo haisemi hivyo. Kumbuka unaweka ushahidi wa uongo, utahukumiwa, ingawa unajifanya hujaliKoran 34:13. Hao majini wakifanya atakacho Suleiman, kama misikiti kwa ajili ya ibada, na masanamu,....
😂😂🤣 Statue ni sanamu kijanaWacha kudanganya, Aya hiyo haisemi hivyo. Kumbuka unaweka ushahidi wa uongo, utahukumiwa, ingawa unajifanya hujali
34:13
to top
![]()
Sahih International
They made for him what he willed of elevated chambers, statues, bowls like reservoirs, and stationary kettles. [We said], "Work, O family of David, in gratitude." And few of My servants are grateful.
Sanamu ya kitu gani? Wakiabudu ?😂😂🤣 Statue ni sanamu kijana
Nakuwekea mpaka tafsir
Waislamu walikuwa wanayaangalia masanamu ya malaika , mitume na watumishi watiifu ili wamuabudu allah
Koran 34:13. Walikuwa wakimfanyia alipendalo, kama mihrabu, na masanamu, ...........
Ibn Abbas, Koran 34:13 They made for him what he willed: synagogues and statues of angels, prophets and other righteous servants so that people look at them and follow their example of worshipping Allah,
Msome mfasiri wenuSanamu ya kitu gani? Wakiabudu ?
IbnAbbass Quran umeitoa wapi ?Msome mfasiri wenu
Ibn Abbas, Koran 34:13 They made for him what he willed: synagogues and statues of angels, prophets and other righteous servants so that people look at them and follow their example of worshipping Allah,
‘😂😂🤣 Statue ni sanamu kijana
Nakuwekea mpaka tafsir
Waislamu walikuwa wanayaangalia masanamu ya malaika , mitume na watumishi watiifu ili wamuabudu allah
Koran 34:13. Walikuwa wakimfanyia alipendalo, kama mihrabu, na masanamu, ...........
Ibn Abbas, Koran 34:13 They made for him what he willed: synagogues and statues of angels, prophets and other righteous servants so that people look at them and follow their example of worshipping Allah,
Msome mfasiri wenu

Hiyo ni trafsir kijana unauliza maswali ganiIbnAbbass Quran umeitoa wapi ?
Tafsiri kutoka kanisa lenu ?Hiyo ni trafsir kijana unauliza maswali gani
Wewe umeuliza ni masanamu ya Nini scholar wenu nguli kakupa majibu au hutaki ?
Nguli wa kuuungaunga na kudanganya?Hiyo ni trafsir kijana unauliza maswali gani
Wewe umeuliza ni masanamu ya Nini scholar wenu nguli kakupa majibu au hutaki ?
Kwa hivyo Mungu anapaswa kiwashukuru Katoliki kwa jambo hilo?Wadau hamjamboni nyote?
Niende kwenye mada Moja Kwa Moja
Bila Kanisa Katoliki:
Kanisa Katoliki kwa habari ya hapa Duniani ndiye Mlinzi Mkuu wa Ukristo. Kanisa Katoliki ndiye Msemaji Mkuu wa Ukiristo. Ili kupambana na kuufuta Ukiristo Duniani lazima kwanza yule adui apambane & kuushinda Ukatoliki. Mungu libariki Kanisa Katoliki.
- Ukristo usingeenea Duniani
- Wakristo wangeishi kwenye mateso makubwa
- Ukristo usingeheshimika
- UKRISTO ungefutika na dini ile nyingine ingetawala
Karibuni tujadili kwa hoja
NB: Lugha zisizo na staha hazikubaliki na ikibidi Uzi huu utafutwa
Soma hoja iliyowasilishwa kwa umakini na kisha ndiyo uchangie
🤣😂Aya imetaja majini walijenga msikiti na masanamuNguli wa kuuungaunga na kudanganya?
Kutoka msikitini, tena ipo kwa lugha yenu ya peponiTafsiri kutoka kanisa lenu ?
Ko Uluther ni Upagani au?Martin Luther alipata shida kueneza Ulutheri na siyo Ukiristo
kUNA SEHEMU WAKIABUDU HAYO MASANAMU ?? uNAPENDA KUPAKAZIA SIJUI KWA KAZI GANI ??Kutoka msikitini, tena ipo kwa lugha yenu ya peponi
![]()
🤣😂🤣😂🤣 Usirudie tena , nipo apa kuwanyoosha 😂😂😂😂kUNA SEHEMU WAKIABUDU HAYO MASANAMU ?? uNAPENDA KUPAKAZIA SIJUI KWA KAZI GANI ??
Nenda kwa Mwamposa uone jinsi utakavyokamuliwa hadi kinyesi .Kanisa lilikua linatawala ulaya,kwa mkono wa chuma,wakalipindua na kuweka serikali za kisekula zilizopo mpaka Leo,hawana maajabu zaidi ya kunyonya wantonge kupitia fungu la kumi,sadaka na kuwauzia huduma kwa Bei Kali,wao wananona waamini wananyauka tu
Wadau hamjamboni nyote?
Niende kwenye mada Moja Kwa Moja
Bila Kanisa Katoliki:
Kanisa Katoliki kwa habari ya hapa Duniani ndiye Mlinzi Mkuu wa Ukristo. Kanisa Katoliki ndiye Msemaji Mkuu wa Ukiristo. Ili kupambana na kuufuta Ukiristo Duniani lazima kwanza yule adui apambane & kuushinda Ukatoliki. Mungu libariki Kanisa Katoliki.
- Ukristo usingeenea Duniani
- Wakristo wangeishi kwenye mateso makubwa
- Ukristo usingeheshimika
- UKRISTO ungefutika na dini ile nyingine ingetawala
Karibuni tujadili kwa hoja
NB: Lugha zisizo na staha hazikubaliki na ikibidi Uzi huu utafutwa
Soma hoja iliyowasilishwa kwa umakini na kisha ndiyo uchangie
Kutoka msikitini, tena ipo kwa lugha yenu ya peponi
![]()