Bila Kanisa Katoliki, Ukristo ungefutika duniani na Wakristo wangeishi kwenye mateso makubwa

Bila Kanisa Katoliki, Ukristo ungefutika duniani na Wakristo wangeishi kwenye mateso makubwa

Hii hapa jina la jesus translated as isa. [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2511969View attachment 2511970

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hiyo ni Wikipedia. Mtu yoyote anaweza kuandika/kuedit. Hata wewe hapo ukifungua account Wikipedia unaweza kuedit hiyo article.

Mimi nimekupa USHAHIDI wa jina halisi la Yesu kwenye Maandiko Original ya Biblia (Aramaic language) ambalo jina hilo ni Yeshua.

Yesu kwa Kiarabu anaitwa Yasu. Na hata Biblia ya kiarabu ina neno Yasu, sio Issa.

Jifunze hilo
 
Mimi huwa mnanichekesha sana.

Unauliza swali, Je Yesu alisulubiwa? Halafu unatoa vifungu vya Quran (Ambayo Haina Jina Yesu) ili kutetea hoja... ni ukichaa kwa kweli.

Jina YESU wewe umelijua kutoka kwenye Biblia. Sasa unachotakiwa kujibu ni je, Kwa Mujibu wa hiyo Biblia... Huyo mtu anayeitwa Yesu ALISULUBIWA au HAKUSULIBIWA?

Sasa ili usicheke tuwekee vifungu vya biblia wapi huyo Yesu alisulubiwa
 
Hiyo ni Wikipedia. Mtu yoyote anaweza kuandika/kuedit. Hata wewe hapo ukifungua account Wikipedia unaweza kuedit hiyo article.

Mimi nimekupa USHAHIDI wa jina halisi la Yesu kwenye Maandiko Original ya Biblia (Aramaic language) ambalo jina hilo ni Yeshua.

Yesu kwa Kiarabu anaitwa Yasu. Na hata Biblia ya kiarabu ina neno Yasu, sio Issa.

Jifunze hilo
We tena ndio basi maneno yako haya
Yeshua, ambalo limekuwa translated to yesu

Jesus limekua translated to isa
Hapo ujaelewa wapi
Maana biblia ya kale haina jina la yesu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hii hapa Biblia ya ki-Aramaic (lugha ya ASILI ambayo Injili iliandikwa kwayo).

[emoji116]link hii hapa

Jina la asili la Yesu ni Yeshua, ambalo limekuwa translated to Y'ashu(kiarabu), Yesu/Jesu (African languages ) na Jesus (kiingereza)

Na ninakuletea screenshot kutoka kwenye original aramaic Bible inayoonesha huyo Yeshua alivyokuwa akiitwa. Hii hapa
[emoji116]
View attachment 2511951

Agano jipya la kwanza halikuandikwa kwa ki aramaic ni koine Greek

Language of the New Testament​

From Wikipedia, the free encyclopedia

The New Testament was written in a form of Koine Greek,[1][2] which was the common language of the Eastern Mediterranean[3][4][5][6] from the conquests of Alexander the Great (335–323 BC) until the evolution of Byzantine Greek (c. 600).

We tena ndio basi maneno yako haya
Yeshua, ambalo limekuwa translated to yesu

Jesus limekua translated to isa
Hapo ujaelewa wapi
Maana biblia ya kale haina jina la yesu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
I'll put it simple for you.

Yeshua ni original Aramaic language.

  • Imekuwa translated to Jesus kwa KINGEREZA
  • Imekuwa translated to Yesu/Jesu kwa lugha za kiafrica
  • Imekuwa translated to Yasu kwa KIARABU
Na ndio maana Biblia ya Kiarabu inatumia neno/jina Yasu na sio Issa.

Isa ni Quruanic Character anayedai kuwa yeye ni Yesu wa Biblia..

Kitendo cha nyie kumng'ang'ania huyu mtu anayeitwa Yesu wa Biblia namna hii kinafikirisha. Kinaonesha namna ambavyo Dini yenu isivyoweza kujisimamia yenyewe bila kujiegemeza kwa Ukristo
 
Agano jipya la kwanza halikuandikwa kwa ki aramaic ni koine Greek

Language of the New Testament​

From Wikipedia, the free encyclopedia

The New Testament was written in a form of Koine Greek,[1][2] which was the common language of the Eastern Mediterranean[3][4][5][6] from the conquests of Alexander the Great (335–323 BC) until the evolution of Byzantine Greek (c. 600).

Yaani wewe mwislam unataka kujifanya unajua kuhusu Bible kuliko mimi...Hahaha

Iko hivi: [emoji116]

Vitabu vya Injili (specifically Mathew and Mark) viliandikwa in Aramaic

Vitabu vingine vya Mitume like Paul, Petro etc vilivyoandikwa in Greek.

Kwa ufupi... agano jipya limeandikwa kwa lugha mbili ambazo ni both Aramaic na Greek.
 
Sasa nakuuliza ni nani aliyeiandika biblia ya kwanza na aliiandika kwa lugha ipi ?
 
I'll put it simple for you.

Yeshua ni original Aramaic language.

  • Imekuwa translated to Jesus kwa KINGEREZA
  • Imekuwa translated to Yesu/Jesu kwa lugha za kiafrica
  • Imekuwa translated to Yasu kwa KIARABU
Na ndio maana Biblia ya Kiarabu inatumia neno/jina Yasu na sio Issa.

Isa ni Quruanic Character anayedai kuwa yeye ni Yesu wa Biblia..

Kitendo cha nyie kumng'ang'ania huyu mtu anayeitwa Yesu wa Biblia namna hii kinafikirisha. Kinaonesha namna ambavyo Dini yenu isivyoweza kujisimamia yenyewe bila kujiegemeza kwa Ukristo
Ngoja nikupe dictionary alafu uipinge nayo
Jesus means isa katika dictionary zote za kiarabu
Ongezea na hii The people of Palestine at the time of Jesus don’t say “ain” sound, so isu= isu [emoji3526] the prophet Jesus (pbuh) was called Isu/Ishu, that’s how he was called everyday, then schoolers know Biblical Hebrew asume it was “Isu?” ישוע يشوع because of the meaning of saviour in Hebrew, while Arabs receive the name as “?isu” עישו عيسو ، And then Arabic change Hebrew names ending in u into a resulting Isa.

Screenshot_20230210-075208.jpg

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
I'll put it simple for you.

Yeshua ni original Aramaic language.

  • Imekuwa translated to Jesus kwa KINGEREZA
  • Imekuwa translated to Yesu/Jesu kwa lugha za kiafrica
  • Imekuwa translated to Yasu kwa KIARABU
Na ndio maana Biblia ya Kiarabu inatumia neno/jina Yasu na sio Issa.

Isa ni Quruanic Character anayedai kuwa yeye ni Yesu wa Biblia..

Kitendo cha nyie kumng'ang'ania huyu mtu anayeitwa Yesu wa Biblia namna hii kinafikirisha. Kinaonesha namna ambavyo Dini yenu isivyoweza kujisimamia yenyewe bila kujiegemeza kwa Ukristo
Fanya utafiti vizuri. Yeshua sio kiaramaic usidanganye watu. Embu sikiliza vizuri hiyo video uangalie inavyotamkwa. Haifanani hata kidogo na hilo neno Yesu. Hiyo Jesus kwa kiaramaic.
Pia, chunguza vile vile kila karibia nchi inatumia jina la Jesus kivyake kwa lugha zao. Kuna wakristo wanatumia Isa.

Bila Yuda kufanya usaliti, Yesu asingesulubiwa, wala kusingekuwa na ukristo duniani.
Yuda ni muhimili mkuu wa ukristo, Yuda ni noma sana[emoji41]
 
Sisi Waislamu tunaamini kwamba Bwana Yesu a.s.alikuwa Nabii wa Mungu. Na manabii wote ni watukufuna wapendwa wa Mwenyezi Mungu. Wanatoka kutokakoo takatifu. Kuhusu ukoo wa Bwana Yesu Kristo Masihi Mwana wa Mariamu a.s. Qur'an Tukufu inaeleza kwamba:

A. Masihi bin Mariamu siye ila ni Mtume tu, bila shakamitume wote wamekwisha fariki kabla yake, na mama yake ni mwanamke mkweli. (Qur'an 5:76).

B. (Ewe Mariam) baba yako hakuwa mtu m’baya wala mama yako hakuwa asherati. (Qur'an 19:29).

Kwa hiyo sawa na mafundisho ya dini ya Kiislamu tunamheshimu Nabii Isa a.s. (Yesu Kristo) na vile vile wazee wake.

Sisi tunashangaa sana wakati tunaposoma Biblia,tunaona Biblia inamfedhehesha Yesu Kristo vibaya sana. Licha ya kuwa Mtume wa Mungu sawa na Biblia,

Bwana Yesu haonekani hata mtu mwenye ukoo safi, bali tunalazimika kumtafautisha Isa a.s. na Yesu. Biblia inasema kwamba:

1. Kitabu cha ukoo wa Yesu Kristo, mwana wa Daudi mwana wa Ibrahim. (Mathayo 1:1).

2. Salmoni akamzaa Boazi kwa Rahabu. (Mathayo 1:5) Rahabu alikuwa kahaba (Yoshua 2:1).

3. Yuda alimzaa Peresi na Zera kwa Tamari (Mathayo 1:3). Tamari alikuwa kahaba na mzinifu. (Mwanzo 38:13-18).

4. Daudi alimzaa Sulemani kwa yule mke wa URIA (Mathayo 1:6). Beth Sheba mkewe URIA alipata mimba ya zinaa. (2 Samuel 11:2-5).

Hawa mabibi wote wa Yesu Kristo walikuwa makahaba na wazinifu. Lakini sisi hatukubaliani na Biblia bali tunaona kwamba ni taka taka zilizoongezwa katika Biblia. Na kama Wakristo wanang’ang’ania usahihi wa Biblia, basi wajuwe kwamba Biblia inasema: “Mwana wa haramu asiingie katika mkutano wa Bwana; hata kizazi cha kumi asiingie aliye wake katika mkutanowa Bwana. (Kumb. la Torati 23:2).

Enyi ndugu Wakristo! Kama mnaona kwamba Biblia bado ni sahihi basi mjue kwamba Yesu ni kizazi cha wazinifu, hawezi kuingia katika mkutano wa Mungu.

Kama hawezi hata kuingia katika mkutano wa Mungu, ninyi mnamtegemea nini? Karibuni, Muhammad s.a.w.mfano wa Musa anawakaribisheni kwa mikono miwili.
Yesu katika utume wake APA duniaani alikubali watu wa aina zote has a wale wanaofanya uovuu Mungu haangalii wapi ulipotoka ila dhamira yako ata kama walizaliwa kwenye famili a za kikahaba ila Mungu aliweka dhamira ya dhati kwao
 
Hayo ni maneno yako lakini bahati mbaya sana biblia haisemi hivyo
 
thibitisha kwa maandiko tena yatoke kwenye qur,an au biblia yako

kama hapa ninavio kuthibitishia kuwa ukirisito ni upagani bila sanamu hakuna ukirisito
muanzilishi wa masanamu ni allah , alituma majini kwa suleiman muislamu yakajenga msikiti na kuweka masanamu Koran 34:13. Hao majini wakifanya atakacho Suleiman, kama misikiti kwa ajili ya ibada, na masanamu,....

Lazima wameiga hapo kwa Allah
 
Back
Top Bottom