Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
Ndiyo ndiyo ndiyo ad infinitumHapana,,,hapana,, hapana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo ndiyo ndiyo ad infinitumHapana,,,hapana,, hapana.
[emoji119][emoji119][emoji119]Ndiyo ndiyo ndiyo ad infinitum
Mfano mdogo!! Leo Kanisa Katoliki likatuhusu ushoga, basi ujue Dunia nzima ushoga utakuwa ruksaSi kweli
Ukatoliki ndio Ukristo wenyewe sasahili kanisa lilijaribu kufuta ukristo likashindwa, liliua watu mamilioni kwa mamilioni
miaka fulani hapo kati papa aliomba radhi
wadanganye wasiojua historia
kuna watu walipata shida sana kusimamisha ukristo, akina Martin Luther wa kkkt
Mfano mdogo!! Leo Kanisa Katoliki likatuhusu ushoga, basi ujue Dunia nzima ushoga utakuwa ruksa
Wewe unayejua historia hebu Tupe ushahidi wa hii statement yakoliliua watu mamilioni kwa mamilioni
Bado upo kwa kificho......Hata bila wao kuruhusu ushoga umesambaa sana dunia nzima
Wa RC sio Wakristo halisi hiyo ni mila za asili za Kirumi.Wadau hamjamboni nyote?
Niende kwenye mada Moja Kwa Moja
Bila Kanisa Katoliki:
Ukiristo usingeenea Duniani
Wakiristo wangeishi kwenye mateso makubwa
Ukiristo usingegeshimika
UKIRISTO ungefutika na dini nyingine ingetawala
Kanisa Katoliki kwa habari ya hapa Duniani ndiye Mlinzi wa Ukiristo
Ili kupambana na Ukiristo lazima kwanza upambane na kuushinda Ukatoliki
Karibuni tujadili kwa hoja
NB: lugha zisizo na staha hazikubaliki na ikibidi Uzi huu utafutwa
Martin Luther ni mkatoliki na ataendelea kuhesabika kama Mkatoliki, hao wanaojiita walutheri ni wakatoliki waliochangamka.Kanisa katoliki ndio lililoua ukristo wa kweli duniani. Katoliki liligeuzwa kuwa dini ya Nchi, wengi wasiowakatoliki waliuwawa. Middle east yote ilikua christian land, Morocco, Algeria na Egypt. Zilikua christian countries. Catholic chini ya utawala wakiimula uliua na kuumiza wengi. Ndipo ulipotokea uislamu kama mkombozi wa mateso ya Catholics. Ukristo ulikuwepo,kabla ya ukatoliki na ulivurugwa na tawala zilizo kuwa chini ya Catholic. Wanakuja watu kama Martin Luther n.k kuuamusha ukristo iliuwawa na Catholic. Leo hii uislamu usingekuwepo duniani lakini Catholic ilizaa Islamic. Usidanganye watu.
Kanisa lilikua linatawala ulaya,kwa mkono wa chuma,wakalipindua na kuweka serikali za kisekula zilizopo mpaka Leo,hawana maajabu zaidi ya kunyonya wantonge kupitia fungu la kumi,sadaka na kuwauzia huduma kwa Bei Kali,wao wananona waamini wananyauka tuUkishindana na kanisa Katoliki ni sawa na mtu kupigisha mguu kwenye jiwe, mguu utaumia na jiwe litabaki lilivyo.
Lakini ndiyo waasisi wa ukiristo ikiwemo sikuu zote ambazo kimsingi ni za wapagani wa romaWa RC sio Wakristo halisi hiyo ni mila za asili za Kirumi.
Wanachanganya imani ya kikristo na mila za kirumi.
Mke wa kwanza wa Bwana Muhammad alikuwa mkristu mkatoliki, kupitia huyu mwanamke Muhammad akawa anachota baadhi ya vifungu vya BIBLIA TAKATIFU kwa maelekezo ya kitaalamu ya Bi khadija mkatoliki na kuja kuvijazia kwenye kitabu cha kuran, akaongezea na hadithi za hapa na pale ndio Kuran ikapatikana.Catholic ilizaaje Uislam?
Kuna hivi vijikanisa kama Anglican , wana hadi maaskofu mashoga lakini hakuna anayejali kwa sababu ni kijikanisa kisicho na ushawishi duniani.Mfano mdogo!! Leo Kanisa Katoliki likatuhusu ushoga, basi ujue Dunia nzima ushoga utakuwa ruksa
Ukatoliki ndio ulianzisha uislamuUikristo ndio baba na Mama wa Uislam,hapo ndipo unaniacha mdomo wazi.
Mkuu ebu punguza ufala basi unaweza kutupa ushahidi wa haya unayo yasema?Mke wa kwanza wa Bwana Muhammad alikuwa mkristu mkatoliki, kupitia huyu mwanamke Muhammad akawa anachota baadhi ya vifungu vya BIBLIA TAKATIFU kwa maelekezo ya kitaalamu ya Bi khadija mkatoliki na kuja kuvijazia kwenye kitabu cha kuran, akaongezea na hadithi za hapa na pale ndio Kuran ikapatikana.
Mkuu umeifunga mada.Acha ushirikina wewe, Mungu ana njia nyingi
ukristo umepitia changamoto nyingi sana.Lakini ndiyo waasisi wa ukiristo ikiwemo sikuu zote ambazo kimsingi ni za wapagani wa roma