Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Acha uongooo huyooo
Muongo na huna Maarifa yoyote.
Roman ndo inafanya Dunia iwe ya ajabu kabisaa
Muongo na huna Maarifa yoyote.
Roman ndo inafanya Dunia iwe ya ajabu kabisaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo zote zimekopi mambo ya wayahudi hakuna mwenye hati miliki hapo,,,,,......tena uislam unaweza kua na historia ya uhakika zaidi ya ukristo huu wa warumi maana wayahudi na waarabu waliishi pamoja kwa miaka mingi sana kuliko mzungu alivyoishi na myahudi......na huu ukristo wa wamagharibi upo tofauti sana na ule ukristo asilia wa jamii za pande ile............ukristo ambao kidogo umebaki na chembechembe za kale ni orthodox hasa wale oriental ila huu wa wamagharibi wazungu wameuchakachua vya kutosha,,,,.....wakristo wa zamani walikua wanasujudu pia kama waislam na pia watu wote ndani ya eneo la kuabudu walikua wanatizama upande wa altare hata waongoza ibada walikua wanageukia upande wa altare na sio kama siku hizi muongoza ibada anatizamana na waumini,,,,,,hizo tamaduni zote ukiangalia zilikua za jamii za watu wa mashariki ya kati, wayahudi wakiwemo..................Na orthodox wanawaita wakatoliki wakirumi na makanisa yote yaliyotokea kwao heretics( wanaeneza mafundisho ya uongo)Kwa kuuwezesha kutumia maandiko yake torati na mengine kujihalalisha. Angalia nani alimuibua Adam na Eva aka Hawa kwa waislam. Kimsingi, ukristo ndiye baba na mama wa uislam. Na kimsingi, quran ni biblia iliyoandikwa kishairi. So simpo.
Angalia lecture ya 'islamic connection' na 'all roads lead to Rome' by prof Walter VeithUikristo ndio baba na Mama wa Uislam,hapo ndipo unaniacha mdomo wazi.
Nashukuru kwa kukiri na kuelewa. Kimsingi, ukristo na uislam ni ndugu ingawa ukristo ni mkongwe kuliko uislam. Nakubaliana nawe kuwa wenye mali yao ni wayahudi ambao walibadilishana na wazungu kwa masharti kuwa wawalinde ktk kuwadhulumu na kuwatesa waarabu. Pia, nakubaliana nawe kuwa kusujudu wanakofanya waislam wameigiza kwa wakristo wa mwanzoni. Wote wanaabudia vitu kama mtu aitwaye yesu na jiwe liitwalo al kaaba na mambo mengine kama hayo. kama vile material paradise al janna. Pia, wote huwapachika wafuasi wao majina bandia toka kwenye utamaduni wao. Wote ni wanyonyaji, wabaguzi na wakoloni kimfumo. Wote wana tabia za kuuana uana na kutishiana mioto. Kwa ufupi sina la kuongeza. Nimefarijika kuwa tumeelewana hatimaye.Hizo zote zimekopi mambo ya wayahudi hakuna mwenye hati miliki hapo,,,,,......tena uislam unaweza kua na historia ya uhakika zaidi ya ukristo huu wa warumi maana wayahudi na waarabu waliishi pamoja kwa miaka mingi sana kuliko mzungu alivyoishi na myahudi......na huu ukristo wa wamagharibi upo tofauti sana na ule ukristo asilia wa jamii za pande ile............ukristo ambao kidogo umebaki na chembechembe za kale ni orthodox hasa wale oriental ila huu wa wamagharibi wazungu wameuchakachua vya kutosha,,,,.....wakristo wa zamani walikua wanasujudu pia kama waislam na pia watu wote ndani ya eneo la kuabudu walikua wanatizama upande wa altare hata waongoza ibada walikua wanageukia upande wa altare na sio kama siku hizi muongoza ibada anatizamana na waumini,,,,,,hizo tamaduni zote ukiangalia zilikua za jamii za watu wa mashariki ya kati, wayahudi wakiwemo..................Na orthodox wanawaita wakatoliki wakirumi na makanisa yote yaliyotokea kwao heretics( wanaeneza mafundisho ya uongo)
Hapo kwenye makubaliano na wazungu , hakukua na hicho kitu ni hizo jamii zilivyoanza kutawanyika na pia tawala zilipoingiliana kwa kujitanua ndo yakaja hayo mambo ya kucopy na kupaste..........na hizo tamaduni zote zilikuwepo kabla ya ukristo na uislam.........myahudi mwenyewe pia hadi hio stori ya adam na eva waliiba toka babylon enzi hizo wamepelekwa utumwaniNashukuru kwa kukiri na kuelewa. Kimsingi, ukristo na uislam ni ndugu ingawa ukristo ni mkongwe kuliko uislam. Nakubaliana nawe kuwa wenye mali yao ni wayahudi ambao walibadilishana na wazungu kwa masharti kuwa wawalinde ktk kuwadhulumu na kuwatesa waarabu. Pia, nakubaliana nawe kuwa kusujudu wanakofanya waislam wameigiza kwa wakristo wa mwanzoni. Wote wanaabudia vitu kama mtu aitwaye yesu na jiwe liitwalo al kaaba na mambo mengine kama hayo. kama vile material paradise al janna. Pia, wote huwapachika wafuasi wao majina bandia toka kwenye utamaduni wao. Wote ni wanyonyaji, wabaguzi na wakoloni kimfumo. Wote wana tabia za kuuana uana na kutishiana mioto. Kwa ufupi sina la kuongeza. Nimefarijika kuwa tumeelewana hatimaye.
Hukuna haja ya maneno mengi weka ushahidi wowote wa kihistoria.Sijaumizwa na neno fala na nimelipokea kwa mikoono minne, wala usiwe na shaka.
Ila usikatae jambo kwa sababu linapingana na misingi ya mafundisho uliyowahi kuipata hapo kabla.
Ni vema ukaanza kuelewa kuanzia sasa kuwa Uislam ni zao la Kanisa Katoliki la kirumi, halafu baada ya hapo anza kuchimba ili kupata ufahamu zaidi, sawa ?
Kanisa shikizi?Kuna hivi vijikanisa kama Anglican , wana hadi maaskofu mashoga lakini hakuna anayejali kwa sababu ni kijikanisa kisicho na ushawishi duniani.
Pombe huwa inaharibu akili za watu na ndo zao la watu kama nyinyi msio jua kupima maneno ya kusema.Kwani pombe imekukosea nini ?
Maandiko matakatifu yanatuhasa kunywa mvinyo kama sehemu ya kujenga afya zetu halafu wewe unapingana nayo, kweli ?Pombe huwa inaharibu akili za watu na ndo zao la watu kama nyinyi msio jua kupima maneno ya kusema.
Wakatoliki ni waasisi wa dini ya kiislamu, haifurahishi kusikia hivyo ila huo ndio ukweli wa mambo.Hukuna haja ya maneno mengi weka ushahidi wowote wa kihistoria.
Kitendo cha kushindwa kuweka udhibitisho wa ulicho kiongea inakuakisi jinsi ulivyo na akili za hovyo na mtu mwenye tabia za kukurupuka na kuamini kila unacho kisikia.
Ungekuwa unajua historia ya hizi dini mbili na vipindi zilivyo pitia mpaka sasa zilipo usingekuwa unakurupuka kubwabwaja maneno yasio na udhibitisho.
Kama Wasabato?Wanaofuata misingi 10 ya ikristo.
Msingi mmojawapo ni ubatizo wa maji mengi.
Mkuu naogopa kuamsha vita za imani🤣Kama Wasabato?
Wadau hamjamboni nyote?
Niende kwenye mada Moja Kwa Moja
Bila Kanisa Katoliki:
Ukiristo usingeenea Duniani
Wakiristo wangeishi kwenye mateso makubwa
Ukiristo usingegeshimika
UKIRISTO ungefutika na dini nyingine ingetawala
Kanisa Katoliki kwa habari ya hapa Duniani ndiye Mlinzi wa Ukiristo
Ili kupambana na Ukiristo lazima kwanza upambane na kuushinda Ukatoliki
Karibuni tujadili kwa hoja
NB: lugha zisizo na staha hazikubaliki na ikibidi Uzi huu utafutwa
Dini zote ukristo, uislam na nyingine nyingi mama yao Misri kwa wanubiHuwez kuutenganisha ukristo na ukatoric, kiuhalisia hakuna ukristo bila ya ukatoric.
Ukatoric ndio chanzo cha ukristo, kabla ya ukatoric hakukuwai kuwepo ukristo, tafuta historia sehem yoyote ile hutoona uwepo wa ukristo, bali dhehebu la ukatoric ambalo lilizaa dini ama iman ya ukristo.
Kabla ya 300 A.D hakukuwai kuwepo na ukristo bali ukatoric ulishakuwepo, na hiyo dhana ya kusema huyu ni mkristo ilianzishwa na wakatoric viongoz walioibua Sheria mpya za kimaandiko za kuabudu ktk utatu mtakatifu kutoka ktk asili ya Miungu ya wamisri then dhana hiyo ya utatu wakachukua Mungu mwana awakilishe ama abebe Nguzo ya imani ya ukatoric na kuzaa imani mpya yenye msingi wa kizazi kipya(New generation) chini ya mwokozi mpya ambaye asili yake ni utatu wa miungu ya kimisri(Zeus) na mwokozi huyo akabatizwa jina jipya la yesu(jesus) kutoka ktk majina ya asili kama yeshua, Azazel, krishna, na jina jipya hilo ndilo likabeba ama likawa msingi wa mafundisho ya ukatoric ktk kizaz kipya na msingi huo kuitwa Ukristo(Agano jipya. A.D ERA) na wanaofuata misingi hiyo kuitwa wakristo pia inawezekana kuwaita wanaYesu ama wafuasi wa Yesu maana haina tofauti na ukristo.
Mjue kuwa ukristo chanzo chake ni uvumbuzi mpya wa kanuni za kiimani chini ya uhusika mpya wa mungu mwana Zeus kwa jina jipya la Yesu na hapa ndipo inapokuja stori kuwa yesu alikuja miaka 2000 iliyopita, ni kwel kulingana na historia huyo yesu hajawai kuwepo bali uhusika wake ulitungwa kutoka ktk majina ya mashetan ama Miungu ya waaafrika wa kale(misri) na uhusika huo wa huyo yesu ukapewa heshima ya kiimani kubeba imani ya ukatoric(upagan) na kuitwa uyesu ama ukristo(mkombozi) kwa wafuasi wa hii imani, ijulikane tu kabla ya kuundwa kwa uhusika wa Yesu, hadithi zake hazikuwepo ndiomaana dini ya waisrael yaani uyahudi haimtambui yesu, maana hajawai kuexist before ila aliundwa tu na wakatoric.
Baada ya migongano ktk imani ya ukatoric kukameguka vijidhehebu vipya ambavyo vilicopy karibia 99% ya mafundisho ya ukatoric na kuunda mifumo yao ya kiimani, na madhehebu yote hayo kwakuwa yalibase kwenye mafundisho ya (Azazel, Zeus, Yesu ama kristo kwa mujibu wenu) basi madhehebu yote yakaitwa wafuasi wa Yesu/kristo, so kwa wingi wao wakaitwa wakristo hapo ndipo CHANZO CHA UKRISTO ambacho wachungaji ama viongozi wenu wa kidin hawawez kuwaelezeni ukweli huu.
Dhana ya kalenda na hesabu za B.C na A.D iliundwa na wakatoric kabla ya uwepo wa ukristo kama nilivyoeleza ukristo ulizaliwa baada ya jina la yesu kutengenezwa kutoka kwa mizimu ya wamisri then wafuasi wa mzimu huu wakaja kuitwa waYesu ama waMwokozi kwa kingereza Christians ama wakristo, na ili kuwaraisishia warumi hao wajenzi wa imani hii na watawala wa dunia walitumia utambulisho wa yesu kama calenda ya kugawanyisha nyakati kabla ya kuundwa kwa yesu(B.C/agano la kale) na baada ya kuundwa kwa mzimu yesu(A.D/agano jipya) na sheria hii ya hesabu za nyakati inatumia karibia dunia nzima, maana jamii zote dunian zipo chini ya Control ya uYesu, ukristo, upagan ama hao mnaowaita freemason bila kujua ndio hao hao viongoz wenu wa kidini.
Dini zote ni uongo mtupu.View attachment 2511053