Bila Kanisa Katoliki, Ukristo ungefutika duniani na Wakristo wangeishi kwenye mateso makubwa

Nakazia mitume na manabii wote, hawakufundisha watu wasujudie sanamu,watu wawe walevi na walawiti. Hata Paulo ambaye alifungua makanisa Roma.Hakufundisha watoto wabatizwe. Tawala za kikoloni hasa ufaransa,Italia,uingereza, Ujerumani. Ziliteka ukristo na kufanya kuwa msingi wa unyonyaji. Ndipo Roman Catholic na Anglican zikatangazwa kuwa state Religion. Hivyo mtoto alipozaliwa alibatizwa na kupewa cheti kama ishara ya uraia. Watu wote waliokuwa na ukristo asilia, walipaswa wachague kati ya kuwa mkatoliki au kuhama Nchi. Waliokuwa na uwezo walihamia America, ndio hao walioanzisha baptist church lililotunza misingi ya ukristo. Walioshindwa kuhama waliuwawa na tawala za kikatoliki. Hoja ya Biblia kuwa ya wakatoliki ni uongo uliowazi. Tawala hizi dhalimu zilikusanya nyaraka na kuandika kitabu kimoja ambacho ni Biblia. Hoja kutunza Biblia ni uwongo maana Torati , Zaburi na Injili zilitunzwa miaka mingi kabla ya Catholic. Katoliki walizaa uislmu, baada ya ukatoliki kutawala na kuua wasiowakatoliki, Mohamed alitumia maandiko yaleyale kwenye torati,Zaburi na Injili ya Barnaba, kuandika Quran. Islam ikawa ndio imani iliyokuja kuwakomboa watu kutoka kwenye mateso ya ukatoliki na tawala zilizokuwa chini ya ukatoliki. Wote hawa ajenda Yao ilikuwa ni kuwalazimisha watu kuwa katika imani Yao. Waliokataa kuslimu wengi waliuwawa kama mama Yao Catholic alivyofanya. Islam isingekuwepo kama Catholic wasingejigeuza kuwa tawala dhalimu na kupenyeza mafundisho ya uongo ndani ya ukristo. Usidhani kuwa makanisa mengine hayakuwepo. Katoliki ilifuta kabisa historia ya ukristo wa kweli Ili waitawale dunia kirahisi. Katoliki walifundisha upagani wakuabudu midoli ya wazungu na kutembea nayo vifuani. Katoliki waliingiza imani kwa mama Maria kuliko hata huyo Yesu. Kiujumla Catholic imeharibu ukristo na kufanya kuwa dini ya wapagani. Tubuni maana ufalme wa Mungu umekaribia.
 
"Hoja ya Biblia kuwa ya wakatoliki ni uongo uliowazi. Tawala hizi dhalimu zilikusanya nyaraka na kuandika kitabu kimoja ambacho ni Biblia. Hoja kutunza Biblia ni uwongo maana Torati , Zaburi na Injili zilitunzwa miaka mingi kabla ya Catholic. Katoliki walizaa uislmu"

Hebu fafanua hapo juu tafadhali
 
Nakazia mitume na manabii wote, hawakufundisha watu wasujudie sanamu,watu wawe walevi na walawiti. Hata Paulo ambaye alifungua makanisa Roma.Hakufundisha watoto wabatizwe. Tawala za kikoloni hasa ufaransa,Italia,uingereza, Ujerumani. Ziliteka ukristo na kufanya kuwa msingi wa unyonyaji. Ndipo Roman Catholic na Anglican zikatangazwa kuwa state Religion. Hivyo mtoto alipozaliwa alibatizwa na kupewa cheti kama ishara ya uraia. Watu wote waliokuwa na ukristo asilia, walipaswa wachague kati ya kuwa mkatoliki au kuhama Nchi. Waliokuwa na uwezo walihamia America, ndio hao walioanzisha baptist church lililotunza misingi ya ukristo. Walioshindwa kuhama waliuwawa na tawala za kikatoliki. Hoja ya Biblia kuwa ya wakatoliki ni uongo uliowazi. Tawala hizi dhalimu zilikusanya nyaraka na kuandika kitabu kimoja ambacho ni Biblia. Hoja kutunza Biblia ni uwongo maana Torati , Zaburi na Injili zilitunzwa miaka mingi kabla ya Catholic. Katoliki walizaa uislmu, baada ya ukatoliki kutawala na kuua wasiowakatoliki, Mohamed alitumia maandiko yaleyale kwenye torati,Zaburi na Injili ya Barnaba, kuandika Quran. Islam ikawa ndio imani iliyokuja kuwakomboa watu kutoka kwenye mateso ya ukatoliki na tawala zilizokuwa chini ya ukatoliki. Wote hawa ajenda Yao ilikuwa ni kuwalazimisha watu kuwa katika imani Yao. Waliokataa kuslimu wengi waliuwawa kama mama Yao Catholic alivyofanya. Islam isingekuwepo kama Catholic wasingejigeuza kuwa tawala dhalimu na kupenyeza mafundisho ya uongo ndani ya ukristo. Usidhani kuwa makanisa mengine hayakuwepo. Katoliki ilifuta kabisa historia ya ukristo wa kweli Ili waitawale dunia kirahisi. Katoliki walifundisha upagani wakuabudu midoli ya wazungu na kutembea nayo vifuani. Katoliki waliingiza imani kwa mama Maria kuliko hata huyo Yesu. Kiujumla Catholic imeharibu ukristo na kufanya kuwa dini ya wapagani. Tubuni maana ufalme wa Mungu umekaribia.
Ukiristo asilia ndiyo upi huo?!
 
Umesema Torati na Injili hazikutunzwa na Wakatoliki, Vipi Kuhusu vitabu vya injili ya Yesu Kristo kuanzia Matayo hadi Ufunuo?
 
Rudia kusoma historia vizuri Kisha urejee hapa jukwaani
 
Manabii wa Uongo wote hakuna hata mmoja aliye Mkatoliki
 
Wadau hamjamboni nyote?

Niende kwenye mada Moja Kwa Moja

Bila Kanisa Katoliki:
  • Ukristo usingeenea Duniani
  • Wakristo wangeishi kwenye mateso makubwa
  • Ukristo usingeheshimika
  • UKRISTO ungefutika na dini ile nyingine ingetawala
Kanisa Katoliki kwa habari ya hapa Duniani ndiye Mlinzi Mkuu wa Ukristo. Kanisa Katoliki ndiye Msemaji Mkuu wa Ukiristo. Ili kupambana na kuufuta Ukiristo Duniani lazima kwanza yule adui apambane & kuushinda Ukatoliki. Mungu libariki Kanisa Katoliki.

Karibuni tujadili kwa hoja

NB: Lugha zisizo na staha hazikubaliki na ikibidi Uzi huu utafutwa

Soma hoja iliyowasilishwa kwa umakini na kisha ndiyo uchangie
Waafrika tulizidishiwa ile laana ya Adam na Hawa
 
Umeandika maelezo mareeeefu yaliyojaa uongo mtupu.
 
Wakatoliki ni waasisi wa dini ya kiislamu, haifurahishi kusikia hivyo ila huo ndio ukweli wa mambo.
Udhibitisho uko wap? Uweke hapa ili hoja yako iwe na mashiko acha uzwazwa.

Unazusha kitu tu ili ufurahishe nafsi yako alafu ukiombwa ushahidi unazunguka zunguka kama kichaa.
Ungekuwa unajua wakatoriki na waislam wamepigana mara ngapi ili kutetea dini zao usingekuwa una andika huo uharo hapa.
 
"Wakatoriki" ndio kitu wewe mpumbavu ?

Anyway naamini umepata maarifa mapya baada ya kujua Kanisa Katoliki limezaa imani yenu ya kiislamu.
 
Hili kanisa lilijaribu kufuta ukristo likashindwa, liliua watu mamilioni kwa mamilioni. Miaka fulani hapo kati papa aliomba radhi. Wadanganye wasiojua historia. Kuna watu walipata shida sana kusimamisha ukristo, akina Martin Luther wa kkkt
Kanisa likajaribu ufuta Ukristu!!! Seriously??
 
Wadau hamjamboni nyote?

Niende kwenye mada Moja Kwa Moja

Bila Kanisa Katoliki:
  • Ukristo usingeenea Duniani
  • Wakristo wangeishi kwenye mateso makubwa
  • Ukristo usingeheshimika
  • UKRISTO ungefutika na dini ile nyingine ingetawala
Kanisa Katoliki kwa habari ya hapa Duniani ndiye Mlinzi Mkuu wa Ukristo. Kanisa Katoliki ndiye Msemaji Mkuu wa Ukiristo. Ili kupambana na kuufuta Ukiristo Duniani lazima kwanza yule adui apambane & kuushinda Ukatoliki. Mungu libariki Kanisa Katoliki.

Karibuni tujadili kwa hoja

NB: Lugha zisizo na staha hazikubaliki na ikibidi Uzi huu utafutwa

Soma hoja iliyowasilishwa kwa umakini na kisha ndiyo uchangie

Haina ubishi
 
"Wakatoriki" ndio kitu wewe mpumbavu ?

Anyway naamini umepata maarifa mapya baada ya kujua Kanisa Katoliki limezaa imani yenu ya kiislamu.
Ww jamaa mbona kama kichwani umejaza makamasi na mavi badala ya ubongo? kwani hapa tunabishana kuhusu nn hapa ?si ushahidi wa kihistoria unao dhibitisha hilo ?

Kwani ungeweka udhibitisho wa huo uharo wako ulio uandika haya mabishano yangekuwepo au yangeendelea?

Mbona huyo mleta mada ameaanzisha hoja na ameweka vielelezo vilivyo shiba kabisa mpaka ameeleweka?

Mtu mwenye akili ni yule anaye anzisha hoja na kuweka maelezo yanayo jitosheleza ili hoja yake ieleweke na kukubalika, na sio kuanzisha hoja ya kipumbavu na kilevi alafu unalazimisha watu wenye akili waiamini bila kuwawekea udhibitisho.
 
Back
Top Bottom