Bila Katiba Mpya hakuna mwekezaji atakuja kuwekeza Tanzania, Kenya waula

Umeongea kiuchawa zaid
Wewe huna Habari ya nini kinaendelea nchini kwa sasa bila Shaka. Ni matrillioni ya uwekezaji. Nikupe mmoja tu kama mfano, wachina wenye Mikocheni plaza wamenunua hela 25,000 wanafanya uwekezaji wenye thamani ya trillioni tatu pale kibaha.
Uwekezaji kwenye sekta ya kilimo. Mama alipokua Dubai waliweka sahihi za makubaliano ya awali yenye thamani ya trillioni 17 ikiwemo kujenga kiwanda cha mbolea nchini.
 
Tunaongelea uwekezaji mkubwa unaoendelea kwa kasi nchini Tanzania kwa sasa. Tuwe wakweli, na tusiangalie mambo kwa namna ambavyo tungependa yawe, Bali kama yalivyo, na hivi ndivyo yalivyo kuangalia Sep na August Za Mwaka huu pekeyake.
 

Attachments

  • D8589DBC-7097-49D8-B873-4115EB45E83B.jpeg
    63.3 KB · Views: 3
  • F01E2147-3789-44B1-9423-582647B705A6.jpeg
    57.8 KB · Views: 3
  • 01D37FAC-1C13-4283-902C-90B01E13396B.jpeg
    61.7 KB · Views: 3
  • 7CAC7E32-C96E-423F-B59F-6DA04E2342C2.jpeg
    51.1 KB · Views: 3
  • 87612C5D-BD9C-4FD7-961C-98BCAEC340F5.jpeg
    69.7 KB · Views: 3
  • AC58116F-8F63-47AB-826A-91D3C3A2A7A5.jpeg
    73.7 KB · Views: 3
  • 842EF67D-C492-4D83-8765-05310FE1DBB0.jpeg
    49.5 KB · Views: 3
  • 3F5CED97-E3A0-4FF5-BC26-31F81038B18F.jpeg
    38.2 KB · Views: 3
  • D02E021D-B8D3-4F0B-928E-481EEAEAC83B.jpeg
    69.6 KB · Views: 2
  • 2BD8265F-6255-4B11-A12F-A76D75839BBE.jpeg
    49 KB · Views: 3
What next after Samia?
 
Nimecheka sana aiseee......

Nakubaliana na wewe ndugu yangu, Demokrasia na Utawala wa sheria ni vyombo muhimu kama vya kutunza mafanikio na kuyapelekea kutoka kuzazi kimoja hadi kingine. AU katika lugha ya kiingereza niseme Democracy and Rule of Law are vehicles for preservation of material wealth and prosperity down the generations.......
 
wamenunua heka 25,000 wanafanya uwekezaji wenye thamani ya trillioni tatu pale kibaha.
Haya huwa ni maneno tu mkuu. Kule Mtwara 2014 wakati issue ya gesi iko hot tuliambiwa kuna uwekezaji wa trillion 90 unakuja na Mtwara itageuka kuwa Dubai kama siyo mbingu kabisa. Lkn mpk kesho Mtwara bado iko vichakani
 
sasa unawekezaje kwenye nchi isiyo hata na dira,akija Rais huyo anakuja na lake akija mwingine anaweka matakataka yake mengine mapya.Dangote kuna muda alitaka kuhama kwasababu ya uzwazwa wa hii nchi.
Unayesema nchi haina dira hujawahi kuisoma katiba tuliyokua nayo page kumi Za kwanza. Utakuta ndio mnadai katiba mpya huku ya iliyopo hujaisoma. Sasa hiyo mpya ikiwa mbaya zaidi utasemaje, bora ya zamani? Mambo mengine hayana kurudi nyuma.
 
Bwana Sexless kama tatizo ni demokrasia kwanini nchi kama Congo, Rwanda, Uchina na Mexico ambazo hazina demokrasia na utawala wa sheria ziendelee kuvutia wawekezaji wakubwa tu ???
KwanZa nchi zisizo na demokrasia lakini zina maendeleo ni chache kuliko nchi zisizo na demokrasia na hazina maendeleo. Muhimu zaidi nchi zenye demokrasia na maendeleo ni nyingi kuliko Makundi yote.
Mfano bora kabisa ni Korea kaskazini na korea kusini, miaka ya 1950 zilikua Sawa, leo korea kusini inashindana Sokoni na nchi kama marekani kwa bidhaa zao kama Samsung, wannaunda magari meli, satellite, microchips na kuuzia dunia. Nakuhakikishia hujawahi ina bidhaa tokea korea kaskazini.
Demokrasia pia huhakikisha madaraka yanakwenda kwa mtu anayeungwa mkono na wengi, akichemka ni kosa lenu, kumuweka madarakani, na mnaweza kumtoa tofauti na dikteta akileta maendeleo ni utashi wake tu, asipoleta Hamna la kumfanya.
 
Tunahtaji kuona Tanzania chini yakatiba zuri
 
Hii imekaaje mkuu? naona manispaa ya ilemela wanaiongelea sana
Kuna mabilioni yamemwaga na wafadhili kwaajili ya kurejesha wingi wa samaki, ni mradi wa miaka 15. Zimepangwa kutolewa pesa kwaajili ya Vyama vya ushirika, Vikundi vya Vijana na Wafugaji binafsi ili wafuge samaki kwa kutumia vizimba.
 
There is no modern China without Chairman Mao, full stop huyu ndiye father wa modern China.
 
1. Deng alitaka kuifanya China kuwa kama marekani na ulaya katika mfumo wa kiutawala [ demokrasia ya magharibi ] lini hiyo ?

2. Lini comrade Xi kairudisha China kutukuza mtu mmoja? Na lini China ilikuwa ina tukuza mtu mmoja ?

3. Comrade Deng alipindua nini ?

4. China inautawala wa kundi la kidikteta ?

: Lee Kuan Yew my friend was more pragmatic that's why fool people termed him as a dictator.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…