britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,261
- 48,864
Niliiandika 2019 baada ya kukutana ma mtu mmoja pale CCM lumumba ni mtu mmoja credible ndani ya Chama,nina dhani ni bora kujipendekeza kwa katiba kuliko kwa watu, kuna katetesi ndani ndani kwamba hata si bunge tu hata wakuu wa wilaya nao ni majanga kila siku kujipendekeza, kama Mkuu wa wilaya ya Hai uwa anamdharau mpaka Waziri mkuu, hata Makamu kisa Magu kawapa direct access ya kupigia yeye mwenyewe bila kufuata protocal, Kuna Katibu Mkuu wa Chama huyo ndo kageuka kuwa Chawa kisa kaaidiwa kwamba atarithi kiti kwa udi na uvumba kaa mkilijua hili, Bashiru anaweza kuja kuwa rais wa Tanzania kwa mizengwe tu, sasa naye anajipendekeza mpaka anapitiliza, Makamu huyo anatukanwa kwenye corridor kila siku,,
Britanicca saa nyingine niite insider
Alikuwa kaniambia kwamba ishaamuliwa kama Magu angeona hafai kuendelea 2025 kwa kukiuka Katiba basi chaguo lake ni BASHIRU, niliiweka kwenye TETESI Uzi huu nikafuatwa inbox na mkubwa mmoja kuniambia ni edit Hiyo ila nikakomaa 😁
Kwako Pascal Mayalla
Britanicca