Gilbert A Massawe
JF-Expert Member
- May 14, 2015
- 6,359
- 5,329
Bashiru can be.Mchaga,mhaya,mnyakyusa hatopewa urais
save post.
Bashiru can be.Mchaga,mhaya,mnyakyusa hatopewa urais
Ni kama kuna jambo linasawazishwa hapaHuku makamu na mstaafu huku bi mkubwa na TEC ..... Sijui nini kinapikwa ...
Hatopata katu,ukabila kwa wahaya,wachaga,wanyakyusa hauishi leo wala keshoBashiru can be.
save post.
Rais wa nchi hii haamuliwi na mtu mmojaHii ni kweli nami niliisema hapa Ubunge wa Bashiru Ali, wachambuzi wanasemaje?
P
Hatutaki muislam tena awamu ijayo, wakina shehe mwaipopo wametuchosha.Bashiru can be.
save post.
haha.Hatutaki muislam tena awamu ijayo, wakina shehe mwaipopo wametuchosha.
Ningeshangaa kama Uzi huu asitajwe jk, tena kwa ubaya. Hakika huyu mzee wa watu atafika akiwa amechoka sana. Wanaomchukia na kumtukana woooote aliwapa ujanja mwenyewe wa kielimu na fursa............huyo ndo binadamu.Sababu alizonipa naona zina apply kweli sasa
Wengine walidhan Magu alimpenda Bashite hapana
Alisema
1. Arrogant
2. Anapenda sana Starehe
3. Ana hatua kwenye Maisha akiziruka sasa anazitumia kwenye uongozi
Nikamuuliza vipi kuhusu kutumiwa na Kikwete kumkwamisha Magu
?
Alichonijibu sasa Hatari
Britanicca
Kanda ya Ziwa,kuiongoza Serikali ya CCM sasa ni ndoto! Muulize DotoNiliiandika 2019 baada ya kukutana ma mtu mmoja pale CCM lumumba ni mtu mmoja credible ndani ya Chama,
Alikuwa kaniambia kwamba ishaamuliwa kama Magu angeona hafai kuendelea 2025 kwa kukiuka Katiba basi chaguo lake ni BASHIRU, niliiweka kwenye TETESI Uzi huu nikafuatwa inbox na mkubwa mmoja kuniambia ni edit Hiyo ila nikakomaa 😁
Kwako Pascal Mayalla
Britanicca
Yaliyopita si ndwele
Britanicca hana ajualo katika hayo uliyomuuliza.Vipi kwanza mkuu britanicca Mtu wa Brazil alienda kwa Jafrey Epstein wa Mashariki mwa bara, je alienda kusaini barua ya ku resign?
Na vipi kuna kiti kakalia kiko salama kiasi gani?
Na vipi hajapokea zawadi yoyote?
Hajapewa documents zozote?
Yupo salama kiasi gani?
Chaguo la Magufuli alikuwa ni Hussein Mwinyi. Magufuli alikuwa hafichi mambo, aliwahi kusema kuwa alimchagua Mwinyi awe makumu wake ila akakatiliwa na Kikwete akaletwa Samia Hassan.Niliiandika 2019 baada ya kukutana ma mtu mmoja pale CCM lumumba ni mtu mmoja credible ndani ya Chama,
Alikuwa kaniambia kwamba ishaamuliwa kama Magu angeona hafai kuendelea 2025 kwa kukiuka Katiba basi chaguo lake ni BASHIRU, niliiweka kwenye TETESI Uzi huu nikafuatwa inbox na mkubwa mmoja kuniambia ni edit Hiyo ila nikakomaa 😁
Kwako Pascal Mayalla
Britanicca