britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,261
- 48,864
Niliiandika 2019 baada ya kukutana ma mtu mmoja pale CCM lumumba ni mtu mmoja credible ndani ya Chama,nina dhani ni bora kujipendekeza kwa katiba kuliko kwa watu, kuna katetesi ndani ndani kwamba hata si bunge tu hata wakuu wa wilaya nao ni majanga kila siku kujipendekeza, kama Mkuu wa wilaya ya Hai uwa anamdharau mpaka Waziri mkuu, hata Makamu kisa Magu kawapa direct access ya kupigia yeye mwenyewe bila kufuata protocal, Kuna Katibu Mkuu wa Chama huyo ndo kageuka kuwa Chawa kisa kaaidiwa kwamba atarithi kiti kwa udi na uvumba kaa mkilijua hili, Bashiru anaweza kuja kuwa rais wa Tanzania kwa mizengwe tu, sasa naye anajipendekeza mpaka anapitiliza, Makamu huyo anatukanwa kwenye corridor kila siku,,
Britanicca saa nyingine niite insider
Sababu alizonipa naona zina apply kweli sasaLengo la kufufua uzi mzee baba?
we know na chuma alistuka too late akaacha apigike na Ndugulile mbele ya kameraSababu alizonipa naona zina apply kweli sasa
Wengine walidhan Magu alimpenda Bashite hapana
Alisema
1. Arrogant
2. Anapenda sana Starehe
3. Ana hatua kwenye Maisha akiziruka sasa anazitumia kwenye uongozi
Nikamuuliza vipi kuhusu kutumiwa na Kikwete kumkwamisha Magu
?
Alichonijibu sasa Hatari
Britanicca
Umewaza vyema Mtumishi..ngoja tusubiri!Huku makamu na mstaafu huku bi mkubwa na TEC ..... Sijui nini kinapikwa ...
We ni Muongo alikujibu nini?Sababu alizonipa naona zina apply kweli sasa
Wengine walidhan Magu alimpenda Bashite hapana
Alisema
1. Arrogant
2. Anapenda sana Starehe
3. Ana hatua kwenye Maisha akiziruka sasa anazitumia kwenye uongozi
Nikamuuliza vipi kuhusu kutumiwa na Kikwete kumkwamisha Magu
?
Alichonijibu sasa Hatari
Britanicca
Mchaga,mhaya,mnyakyusa hatopewa uraisNiliiandika 2019 baada ya kukutana ma mtu mmoja pale CCM lumumba ni mtu mmoja credible ndani ya Chama,
Alikuwa kaniambia kwamba ishaamuliwa kama Magu angeona hafai kuendelea 2025 kwa kukiuka Katiba basi chaguo lake ni BASHIRU, niliiweka kwenye TETESI Uzi huu nikafuatwa inbox na mkubwa mmoja kuniambia ni edit Hiyo ila nikakomaa 😁
Kwako Pascal Mayalla
Britanicca
Hii ni kweli nami niliisema hapa Ubunge wa Bashiru Ali, wachambuzi wanasemaje?Niliiandika 2019 baada ya kukutana ma mtu mmoja pale CCM lumumba ni mtu mmoja credible ndani ya Chama,