Bila kifo cha Magu, Bashiru alikuwa anaukwaa Urais kimzaha

Ningeshangaa kama Uzi huu asitajwe jk, tena kwa ubaya. Hakika huyu mzee wa watu atafika akiwa amechoka sana. Wanaomchukia na kumtukana woooote aliwapa ujanja mwenyewe wa kielimu na fursa............huyo ndo binadamu.
 
Kanda ya Ziwa,kuiongoza Serikali ya CCM sasa ni ndoto! Muulize Doto
 
Britanicca hana ajualo katika hayo uliyomuuliza.
 
Chaguo la Magufuli alikuwa ni Hussein Mwinyi. Magufuli alikuwa hafichi mambo, aliwahi kusema kuwa alimchagua Mwinyi awe makumu wake ila akakatiliwa na Kikwete akaletwa Samia Hassan.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…