- Thread starter
- #21
Wewe itakuwa ni Pole pole.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe itakuwa ni Pole pole.
Ili Magufuli akuingize kwenye hiyo tume yao moja ya sharti kuu ni kuwa lazima uwe mwanachama wa chama chake na uape kukibeba chama chao wakati wa uchaguzi. And that's undisputed.Kwanza kabisa ungetuambia Tume hii ya bara inatatizo gani mpaka useme sio huru?
Nikupe ukurugenzi,nikupe nyumba, nikupe gari halafu umtangaze mpinzani haingii akilini..Shida yenu si Tume huru shida yenu mnataka tume huru kwa maslahi ya chadema na si kwa siasa kiujumla
Kwani umewahi kuwa sehemu ya member wa Tume ya uchaguzi mpaka useme hivyo?Ili Magufuli akuingize kwenye hiyo tume yao moja ya sharti kuu ni kuwa lazima uwe mwanachama wa chama chake na uape kukibeba chama chao wakati wa uchaguzi. And that's undisputed.
Rais mstaafu mkapa ametujulishaWe umejuaje inaongozwa na mamlaka juu wakati wana sheria yao inayowaongoza kuendesha uchaguzi
Sio lazima niwe member eti ndio nijue hayo.Kwani umewahi kuwa sehemu ya member wa Tume ya uchaguzi mpaka useme hivyo?
Kama hauna uhakika na hauna ushahidi ni vizuri ukae kimya bila hivyo utakuwa hauna tofauti na mropokaji.Sio lazima niwe member eti ndio nijue hayo.
Soma hayo maelezo yatakusaidia.
Kwa ufupi Mamlaka ya utuzi wa mkurugenzi na mwenyekiti wa Tume, Wakurugenzi wa halmaqshauri na wengine ambao wanahusika kwenye uchaguzi. hufanywa na Mwenyekiti wa chama ambae ni rais.
Pili matokeo ya Urais kutopingwa na kuhojiwa mahakamani.
Nilichoandika ni 100% true to the best of my knowledge.Kama hauna uhakika na hauna ushahidi ni vizuri ukae kimya bila hivyo utakuwa hauna tofauti na mropokaji.
Tutaaminije ulichoandika ni kweli wakati hujatupa ushahidi toshelezi?Nilichoandika ni 100% true to the best of my knowledge.