Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,404
- 6,969
Watanzania ni watu wa kujishughulisha. Wanapambana maana wanalima, wanafuga na kufanya ujasiriamali wa kila namna.
Ila ukweli ni kuwa CCM haina sera na mipango madhubuti ya kiuchumi kuwanyanyua Watanzania.
Ufisadi na ubadhirifu usiokemewa na kudhibitiwa huruudisha nyuma maendeleo ya watanzania. Wanalipa kodi na tozo za kila namna.
Ila maendeleo yanayofanyika ni tofauti na kodi na tozo wanazolipa.