Bila kuikataa na kuipinga hii CCM maisha ya Watanzania yatakuwa magumu na itakuwa ni janga kubwa

Bila kuikataa na kuipinga hii CCM maisha ya Watanzania yatakuwa magumu na itakuwa ni janga kubwa

Ni kweli haka ni ka swali kadogo very insignificant kama mdharau mwiba!.
Ili uitoe CCM madarakani, lazima kwanza kuwepo na mbadala!, politics is science, vacuum cannot exist!, something must exist and push CCM aside, so that, it can replace the vacancy.
Endelea kukadharau huku CCM ikitawala milele!.

P
Miaka inakatika.

Tafuta kwa jasho, wasukuma na Waha mmekuwaje. Uchawa ni ujuha
 
Miaka inakatika.

Tafuta kwa jasho, wasukuma na Waha mmekuwaje. Uchawa ni ujuha
Naelekea 60, and still exist, wakati kuna wenzangu kibao wametangulia!. Hakuna jambo lolote nimelifanya kustahili kuendelea kuwepo, wala waliotangulia, hakuna baya walilolifanya kustahili its purely the grace of the Lord!.
P
 
Mkuu Idugunde, kwanza asante law bandiko hili, linatoa fursa kwa sisi waalimu huru humu JF kuwapiga darasa watu kama nyinyi.
  1. Nakuomba sana uitofautishe CCM na watu, CCM ni chama, CCM kama chama hakina kosa lolote!. CCM kinaongozwa na watu, hawa watu ni binadamu na sio malaika, wanaweza kufanya makosa na kukosea, walaumiwe wao na sio chama CCM!.
  2. Tatizo kubwa la Watanzania au adui mkubwa wa Tanzania sio CCM, CCM is just the vehicle, haikujiweka hapo ilipo, imewekwa, hivyo tatizo sio CCM iliyowekwa, bali tatizo ni wale walioiweka CCM hapo ilipo!. That simply means, tatizo ni sisi Watanzania tulioiweka CCM madarakani and it plays games on us again and again na sisi tukiendelea kuiweka madarakani again and again and again na sitashangaa kama hata 2015, tukairudisha tena CCM ikulu ya Magogoni!.

    3. Hii dhana ya kudhania adui mkubwa wa Tanzania ni CCM, is a wrong concept, na hili ndilo kosa kubwa la wapinzani, wakiwemo Chadema, katika chaguzi zote za nyuma wapinzani wanaelekeza nguvu nyingi concentration kubwa ya mashambulizi yote kwa CCM wakibeza tuu CCM haikufanya hiki au kile, huku wakijihesabu CCM ndie adui yao mkubwa, hivyo ku miss the real target ya adui halisi ni nani!.
  3. Adui sio CCM, adui ni watu wanaoiweka CCM hapo ilipo!.Hii dhana ya kudhani CCM ni adui, it's a wrong concept na niliwaeleza hawa rafiki zangu Elections 2015 - Kuelekea 2015: CHADEMA, Don't Miss the Target, Adui Mkubwa sio CCM Bali ni ..., wangenisikiliza, saa hizi zamani wangekuwa Ikulu, enzi hizo Ikulu ni ya Magogoni.

  4. Hivyo CCM ni chama hakina tatizo lolote, hakijiweki madarakani, kinawekwa na Watanzania, na kwa political dynamics zetu, if no radical change will take place in a near future, CCM CCM utaendelea kutawala milele!, Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!. kubali kataa!.

P
Kama uwezo wako wa kufikiria ndio umefikia ukomo wake hapo, basi wewe ni kiazi kweli.
Unataka alauniwe shetani?
Hiyo ccm inaendeshwa na shetani?
Na ww unajiita kichwa cha familia, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
 
Ni kweli haka ni ka swali kadogo very insignificant kama mdharau mwiba!.
Ili uitoe CCM madarakani, lazima kwanza kuwepo na mbadala!, politics is science, Newton's laws of motion applies in politics as well, a body in motion or still body, can remain the same until another force acts on it!, a vacuum cannot exist on it's own, there must be a push!, something must exist and push CCM aside, so that, it can replace the vacancy.
Endelea kukadharau huku CCM ikitawala milele!.

P
Yani unaongea Mbadala wakati wapinzani ndio wanakufa na kupotea kila wakati, wengine wanapewa ulemavu.

KATIBA ndio inafanya uone CCM kubwa.
 
Kama uwezo wako wa kufikiria ndio umefikia ukomo wake hapo, basi wewe ni kiazi kweli.
Unataka alauniwe shetani?
Hiyo ccm inaendeshwa na shetani?
Na ww unajiita kichwa cha familia, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Elimu yetu ndio inafanya watu wawe hiyo.
 
Naelekea 60, and still exist, wakati kuna wenzangu kibao wametangulia!. Hakuna jambo lolote nimelifanya kustahili kuendelea kuwepo, wala waliotangulia, hakuna baya walilolifanya kustahili its purely the grace of the Lord!.
P
Miaka 60 kubali matokeo. Uchawa haulipi
 
miaka 60 maisha ni yaleyale bado tunaendelea kuingalia ccm!
bila mawe, marungu na ngumi kuiondoa ccm ktk sura ya dunia tutaendelea kulalamika milele!
 
Back
Top Bottom