At least na nyie mnaona uhalisia sasa kama hii mada sio chombezo la kuamsha mjadala ili mpate hisia za watuWatanzania ni watu wa kujishughulisha. Wanapambana maana wanalima, wanafuga na kufanya ujasiriamali wa kila namna...
Usiziamini sana hizi mada zinawekwa kwa malengo malumMkuu, kweli leo nimeamini ule msemo kuhusu saa hata ikiwa mbovu, kuna wakati ndani ya masaa 12 husomeka kwa usahihi kabisa!
Huo ndio ukweliWatanzania ni watu wa kujishughulisha. Wanapambana maana wanalima, wanafuga na kufanya ujasiriamali wa kila namna.
Ila ukweli ni kuwa CCM haina sera na mipango madhubuti ya kiuchumi kuwanyanyua watanzania.
Ufisadi na ubadhirifu usiokemewa na kudhibitiwa huruudisha nyuma maendeleo ya watanzania. Wanalipa kodi na tozo za kila namna. Ila maendeleo yanayofanyika ni tofauti na kodi na tozo wanazolipa.
idugunde nini kimekupata leo?Watanzania ni watu wa kujishughulisha. Wanapambana maana wanalima, wanafuga na kufanya ujasiriamali wa kila namna....
Mkuu Idugunde, kwanza asante law bandiko hili, linatoa fursa kwa sisi waalimu huru humu JF kuwapiga darasa watu kama nyinyi.Ila ukweli ni kuwa CCM haina sera na mipango madhubuti ya kiuchumi kuwanyanyua Watanzania.
Jibu unalo kuwa sasa CCM ipo chini ya watu wasiofaa. Acha kuzungukaMkuu Idugunde, kwanza asante law bandiko hili, linatoa fursa kwa sisi waalimu huru humu JF kuwapiga darasa watu kama nyinyi.
- Nakuomba sana uitofautishe CCM na watu, CCM ni chama, CCM kama chama hakina kosa lolote!. CCM kinaongozwa na watu, hawa watu ni binadamu na sio malaika, wanaweza kufanya makosa na kukosea, walaumiwe wao na sio chama CCM!.
- Tatizo kubwa la Watanzania au adui mkubwa wa Tanzania sio CCM, CCM is just the vehicle, haikujiweka hapo ilipo, imewekwa, hivyo tatizo sio CCM iliyowekwa, bali tatizo ni wale walioiweka CCM hapo ilipo!. That simply means, tatizo ni sisi Watanzania tulioiweka CCM madarakani and it plays games on us again and again na sisi tukiendelea kuiweka madarakani again and again and again na sitashangaa kama hata 2015, tukairudisha tena CCM ikulu ya Magogoni!.
3. Hii dhana ya kudhania adui mkubwa wa Tanzania ni CCM, is a wrong concept, na hili ndilo kosa kubwa la wapinzani, wakiwemo Chadema, katika chaguzi zote za nyuma wapinzani wanaelekeza nguvu nyingi concentration kubwa ya mashambulizi yote kwa CCM wakibeza tuu CCM haikufanya hiki au kile, huku wakijihesabu CCM ndie adui yao mkubwa, hivyo ku miss the real target ya adui halisi ni nani!.
- Adui sio CCM, adui ni watu wanaoiweka CCM hapo ilipo!.Hii dhana ya kudhani CCM ni adui, it's a wrong concept na niliwaeleza hawa rafiki zangu Elections 2015 - Kuelekea 2015: CHADEMA, Don't Miss the Target, Adui Mkubwa sio CCM Bali ni ..., wangenisikiliza, saa hizi zamani wangekuwa Ikulu, enzi hizo Ikulu ni ya Magogoni.
- Hivyo CCM ni chama hakina tatizo lolote, hakijiweki madarakani, kinawekwa na Watanzania, na kwa political dynamics zetu, if no radical change will take place in a near future, CCM CCM utaendelea kutawala milele!, Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!. kubali kataa!.
P
Jibu unalo kuwa sasa CCM ipo chini ya watu wasiofaa.Mkuu Idugunde, kwanza asante law bandiko hili, linatoa fursa kwa sisi waalimu huru humu JF kuwapiga darasa watu kama nyinyi.
- Nakuomba sana uitofautishe CCM na watu, CCM ni chama, CCM kama chama hakina kosa lolote!. CCM kinaongozwa na watu, hawa watu ni binadamu na sio malaika, wanaweza kufanya makosa na kukosea, walaumiwe wao na sio chama CCM!.
- Tatizo kubwa la Watanzania au adui mkubwa wa Tanzania sio CCM, CCM is just the vehicle, haikujiweka hapo ilipo, imewekwa, hivyo tatizo sio CCM iliyowekwa, bali tatizo ni wale walioiweka CCM hapo ilipo!. That simply means, tatizo ni sisi Watanzania tulioiweka CCM madarakani and it plays games on us again and again na sisi tukiendelea kuiweka madarakani again and again and again na sitashangaa kama hata 2015, tukairudisha tena CCM ikulu ya Magogoni!.
3. Hii dhana ya kudhania adui mkubwa wa Tanzania ni CCM, is a wrong concept, na hili ndilo kosa kubwa la wapinzani, wakiwemo Chadema, katika chaguzi zote za nyuma wapinzani wanaelekeza nguvu nyingi concentration kubwa ya mashambulizi yote kwa CCM wakibeza tuu CCM haikufanya hiki au kile, huku wakijihesabu CCM ndie adui yao mkubwa, hivyo ku miss the real target ya adui halisi ni nani!.
- Adui sio CCM, adui ni watu wanaoiweka CCM hapo ilipo!.Hii dhana ya kudhani CCM ni adui, it's a wrong concept na niliwaeleza hawa rafiki zangu Elections 2015 - Kuelekea 2015: CHADEMA, Don't Miss the Target, Adui Mkubwa sio CCM Bali ni ..., wangenisikiliza, saa hizi zamani wangekuwa Ikulu, enzi hizo Ikulu ni ya Magogoni.
- Hivyo CCM ni chama hakina tatizo lolote, hakijiweki madarakani, kinawekwa na Watanzania, na kwa political dynamics zetu, if no radical change will take place in a near future, CCM CCM utaendelea kutawala milele!, Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!. kubali kataa!.
P
CCM ni chama cha Mungu na kiko na Mungu, akiingia asiyefaa Mungu mwenyewe anarekebisha!.Jibu unalo kuwa sasa CCM ipo chini ya watu wasiofaa. Acha kuzunguka
[emoji38][emoji38][emoji38]Watanzania ni watu wa kujishughulisha. Wanapambana maana wanalima, wanafuga na kufanya ujasiriamali wa kila namna.
Ila ukweli ni kuwa CCM haina sera na mipango madhubuti ya kiuchumi kuwanyanyua Watanzania.
Ufisadi na ubadhirifu usiokemewa na kudhibitiwa huruudisha nyuma maendeleo ya watanzania. Wanalipa kodi na tozo za kila namna.
Ila maendeleo yanayofanyika ni tofauti na kodi na tozo wanazolipa.
Watesi wenu ni hao miungu watu wenu ambao mmewatengeneza nyinyi wenyewe, na kisha kuanza kuwasujudu kila uchao kwa sifa na mapambio.Mh? Mbona sasa Mungu anatuacha tuteseke?
Unauhakika na unayosema?Watesi wenu ni hao miungu watu wenu ambao mmewatengeneza nyinyi wenyewe, na kisha kuanza kuwasujudu kila uchao kwa sifa na mapambio.
Sent using Jamii Forums mobile app
Cc: JKWatanzania ni watu wa kujishughulisha. Wanapambana maana wanalima, wanafuga na kufanya ujasiriamali wa kila namna.