Bila kuikataa na kuipinga hii CCM maisha ya Watanzania yatakuwa magumu na itakuwa ni janga kubwa

Huwezi itoa ccm bila kuusambaratisha kwanza uchawi wao wa moto unaolindwa kwa gharama za kodi zetu ndio unaowaloga watz na kuwapumbaza wawe jinsi walivyo.
Bila kuvunja muunganiko wa ccm na shetani sahau kuhusu wao kutoka madarakani.
 
Ni kweli
 
Mh? Mbona sasa Mungu anatuacha tuteseke?
Kiukweli kuna vitu Mungu anamakusudi sana!, mfano anauwezo wa kumuangamiza shetani, shetani baada ya kuasi sijui kwanini Mungu hakumuangamiza?!.

Baada ya kumuumba binadamu, na kumkataza kula lile tunda la katikati, shetani akajigeuza nyoka, akapenya kuingia bustanini huku Mungu akimuangalia tuu na kumuacha!, baada ya kufika ndani akajigeuza mtu, akamuonyesha Eve jinsi tunda lilavyomegwa kwa kummega, Eva baada ya kuonjeshwa utamu wa tunda, akaenda kumlazimisha Adamu amege, Adamu akamega huku Mungu anawaangalia tuu!.

Mungu akamtuma Mwanae mpendwa wake aje kutukomboa, shetani akamsulubisha kwa kifo cha aibu msalabani huku Mungu anaangalia tuu!.

Kuna vitu Mungu anaona na anaacha tuu!.
P
 
CCM inachapa kazi nzuri hatutaki malalamiko.
 
Kuna watu wameiba akaunti yako.Si bure!
 
Chama ni watu kaka, bila watu bc hakuna chama..kuilaumu ccm ni sahihi kbs,kwnn?? Ukiilaumu ccm una maanisha umelaumu watu woote walioko ccm bila kubagua
 
Umeeleza maana zilizojifisha kwenye uhalisia, na kwangu sioni kama kosa ni kwasababu upande uliochagua huwezi kuwa mkweli.

●Umesema CCM ni chama, ukitoa watu ndani ya CCM kwa maana ya Mathematics CCM ni empty set/null set . Kwa hili hapana

● Kwa upande wa raia nakubaliana na wewe CCM wanapata uongozi kwa Majority ya Wajinga nchini.

Hawezi kusikia kauli kama Malofa na Wapumbavu, Mtakula nyasi kwenye nchi za raia smart.

Kwahiyo kuwepo kwa wajinga wengi Tanzania ni mtaji wa CCM .

- wanaweka Sheria Mbovu kuogoza idadi kubwa ya Wajinga.
 
Team mwendazake mtateseka hivyo hivyo mpaka mtaufyata! Kutesa kwa zamu kmmmk!
 
Upumbavu ni mzigo
 
Swali hili huwa nalidharau sana
Ni kweli haka ni ka swali kadogo very insignificant kama mdharau mwiba!.
Ili uitoe CCM madarakani, lazima kwanza kuwepo na mbadala!, politics is science, Newton's laws of motion applies in politics as well, a body in motion or still body, can remain the same until another force acts on it!, a vacuum cannot exist on it's own, there must be a push!, something must exist and push CCM aside, so that, it can replace the vacancy.
Endelea kukadharau huku CCM ikitawala milele!.

P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…