Paulsylvester
JF-Expert Member
- Oct 15, 2021
- 1,464
- 3,379
Ni Nani asiyechoka na hii kitu inaitwa CCM kwa sasa?
Ninaamini hata walioko CCM dua yenu ni ili siku moja asiingie mtu asiyetokana na chama chenu, maana hofu yenu ni pale itakapo walazimu kurudisha Mali zoote mlizoiibia nchi yetu!
Kwa kuwa Tanzania ni nchi ya waungwana, na wananchi wake kilio chao hukielekeza kwa Muumba wao, sasa ni wakati wa nyinyi mnaoitwa kwa jina la CCM kupambana na nguvu ya Mungu muumbaji
Onyo,
Maombi haya hayatamhusu mtu, ila ni maombi ya yatakayofanya CCM ifutike Tanzania na duniani, shida yetu ni CCM isambaratike
Ni wakati wa nyinyi wajenzi wa jina CCM, Mungu kuwatawanya ndimi zenu kama ilivyokuwa kwa mnara wa Babeli
Ndiyo, tunaupinzani usio na nguvu machoni mwenu, ila kwa Mungu unanguvu nyingu, ila kwa sasa, CCM tumechokwa nacho, watu wanalia kwa machozi ya uchungu kwenye Taifa lao nyinyi mkithamini matumbo yenu na watoto wenu
Watu walio wazuri mnawaondoa ili mle mtakavyo,!
Watanzania wenzagu, kutoka Imani mbalimbali, huu ni Uzi wa maombi tuu kuomba kwa Mungu wetu ili aingilie kati juu ya nchi yetu kulitoa hili jina CCM,
Kama ni kulia, tumelia, kama ni kusema tumesema, na tukiandamana tunapigwa
Sasa mandamano yetu ni kuelekeza maombi yetu kwa Mungu hadi 2025
Tunasambaratisha mizizi yote ya jina CCM kwa jina la Bwana wa mabwana,!
Noted,
Kila siku Ya ijumaa ya mwisho wa mwezi ni mfungo mpaka tuhakikishe CCM inafutika!