Bila kujali itikadi zetu za vyama na dini zetu, kuanzia leo hadi 2025, ni maombi kwa Mungu ya kuifuta CCM

Bila kujali itikadi zetu za vyama na dini zetu, kuanzia leo hadi 2025, ni maombi kwa Mungu ya kuifuta CCM

Baada ya kukosa Mkeka wa juzi ndio umekuja na kisrani hiki??

Sisi tuliojiajiri na bado mnatuwinda winda tusemeje?

Hayo maombi fanya wewe na mke wako.
Hutaki ccm itoke madarakani?
 
Back
Top Bottom