Bila kujali kelele na yaliyosemwa juu ya Hayati Magufuli, kuna ulazima wa haraka sana kumpata mwingine wa aina yake

Nimepitia maoni ya watu lakini nimegundua kwamba watu wengi hawajui bayana nini au nani hasa mchawi wa kuwepo kwa hali hii mbaya iliyopo hapa nchini?
Tz tunahitaji taasisi imara na madhubuti kabisa ya kuweza kutuvusha hapa tulipo na kusonga mbele. Mahali pa kuanzia mabadiliko ni kupatikana kwa Katiba Mpya itakayotokana na Maoni, Mawazo na Fikra za Raia wote wa nchi hii.
 
Yote aliyofanya ilikuwa ni kujitengenezea mazingira ya wizi tu. Jitu halfuati utaratibu wa sheria za manunuzi kwenye ndege za ATCL, CAG anatoa ripoti ya kutoonekana Tsh 1.5 Trillion anamfukuza kazi.

Kimsingi kama ume mmiss DIKTETA nenda kazikwe naye Chato, lakini nchi ambayo mtu mmoja kichaa anaamrisha bunge na kutisha Mahakama kamwe HATUWEZI kurudi huko.

Kufa tu na wewe kama Magufuli ila Tanzania hairudi kwenye maisha ya kishamba ya kutekana, kuuana na uwongo
 
Yuko makonda, nadhani mnamjua na hivi karibuni katikisa baadhi ya watendaji wa serikali kwa staili ya magufuli. Mwingine ni mwigulu, ni mkali yule jamaa kama atapewa mamlaka ya juu hakuna atakaecheka nae kwa uzembe. Mpina naye ni mfuatiliaji wa shilingi inakokwenda na kufanya shughuli yake. The rest politicians wako chadema na act wazalendo ni wakali uzembe hawataki
 
Nchi iliyojaa wajinga namna hii, yeyote mwenye akili timamu atakayeongoza tena, atafanya kama unavyomlaumu JPM

Lingine, ulichoandika kinafurahisha, ila usjisahau kwamba, wewe nawe ni binadamu mwenye sifa zote za kufa

Kwa mantiki hiyo, huna sauti ya mwisho kuihusu nchi hii na maisha ya mtu mwingine!

kama ungelikuwa na ufahamu wa kile JPM anaenda kufanya hayo unayolalamikia, ungelizuia hata kabla ya yeye kuwa Rais

Kama ilivgotokea yeye kuwa raisi na usijue anaenda kufanya nini Ikulu, itatokea tena kwa sababu huna ujuzi wa kuzuia

Onyanoko be
 
Nchi iliyojaa wajinga namna hii, yeyote mwenye akili timamu atakayeongoza tena, atafanya kama unavyomlaumu JPM
Yeyote atakaeongoza!! Nchi haina viongozi? Wajinga ni nyie ambao kila uchao mnamlilia marehemu. Legacy ina tabia ya kujitetea yenyewe, lakini ninyi kutwa kucha ni JPM tu. Hacheni ujinga fikirieni mtafanya nini bila Magufuli, kama vipi kazikweni naye.
 
Yeyote atakaeongoza!! Nchi haina viongozi? Wajinga ni nyie ambao kila uchao mnamlilia marehemu. Legacy ina tabia ya kujitetea yenyewe, lakini ninyi kutwa kucha ni JPM tu. Hacheni ujinga fikirieni mtafanya nini bila Magufuli, kama vipi kazikweni naye.
Ni wapi nimeandika legacy? Zimo kweli wewe au we ni robot

Kingine, usituharibie lugha,

Hacheni??? == Acheni

Nawalaumu walimu wenu siku hizi wajinga wengi sana huko mashuleni
 
Inaonyesha wewe ni wanamke maraya sana, hujakonyezwa unajileta,

Nauliza tena, ni wapi nimeandika legacy?

Ni lini nyinyi maccm mtaacha ujinga?

Eti nilivyo andika, na nikiwa sukuma gang itakusaidia nini wewe kilaza wa Lumumba?
 
Inaonyesha wewe ni wanamke maraya sana, hujakonyezwa unajileta,

Nauliza tena, ni wapi nimeandika legacy?

Ni lini nyinyi maccm mtaacha ujinga?

Eti nilivyo andika, na nikiwa sukuma gang itakusaidia nini wewe kilaza wa Lumumba?
Angalia ulivyo mjinga, ukiishiwa hoja unavurumusha matusi.
 
Tunataka katiba itakayoweza kumshitaki Hadi rais akiwa au ametoka madarakani kwa kufanya makosa. Hatuhitaji walevi wa madaraka. Huyo magufuli alikuwa ni mlevi wa madaraka na Wala sio kiongozi Bora. Kiongozi Bora hutengeneza mifumo madhubuti na sio kutawala kwa vitisho ukatili, shuruti na double standard.
 
Nakupinga. tusiende mbali. Botswana ni inchi ya kidemocrasia, rushwa ni negligible, ustaarabu kama mbele. Tatizo hapa ni ccm chama chakavu. Nasema hivi tatizo la inchi hii ni falsafa za uongozi na tamaduni za ccm
 
Naheshimu mawazo yako pia wewe mwenyewe, stii chochote
 
Nakupinga. tusiende mbali. Botswana ni inchi ya kidemocrasia, rushwa ni negligible, ustaarabu kama mbele. Tatizo hapa ni ccm chama chakavu. Nasema hivi tatizo la inchi hii ni falsafa za uongozi na tamaduni za ccm
Heshima kwako mkuu kwa wazo la kuboresha
 
Sahihi kabisa. Tunahitaji Katiba madhubuti sio viongozi wanaotaka kuabudiwa. Nilijua kabisa magufuli sio kiongozi Bora alipokuwa hataki katiba mpya yenye maoni ya wananchi. Kibaya zaidi akatushurutisha kurudi kwenye mfumo wa chama kimoja, wakati hiki ni kizazi tofauti kabisa.
 
Kipindi cha JPM kulikuwa na unafiki wa hali yajuu. Na ni kipindi ambacho watu wasiopenda kazi(wanasiasa) walipiga sana hela. Waliokuwa wanafanya kazi hawakupandishiwa mishahara. Waliokuwa wanajituma na biashara walifungiwa akaunti zao za bank na pesa zao kuchukuliwa. Kuna watu walifunguliwa kesi za kudaiwa kodi toka miaka ya tisini ili waondoke kariakoo ili Jpm aweke watu wake kariakoo. Serikali haitakiwi kupewa kipaumbele, viongozi wanatakiwa waishi maisha ya chini sana. Kipindi hicho hicho ndio kwa mara ya kwanza watu waliteuliwa kishabiki bila kuangaliwa uwezo. Mama Samia anaendeleza alichofanya JPM, amejaza watu wa visiwani kama JPM alivyojaza watu wa kanda ya ziwa, anaipendelea ZNZ kama JPM alivyopendelea chato na kanda ya ziwa. Tatizo sio Rais tatizo ni mfumo na JPM ndiye Rais pekee aliyetumia nguvu zake za kikatiba kwa asilimia 100. JPM alikuwa Rais wa wavivu na wategemezi. Nawataarifu watanzania wenzangu zama za ujamaa hazipo hakuna atakayekuja kukutetea na kukubeba. Kwenye maisha inabidi ujipambanie wewe mwenyewe.Tanzania hatuendelei kwa sababu bado watu wanashikilia sera za kijamaa ambazo zilitoweka dunia nzima toka miaka ya 90.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…