Bila kujali kelele na yaliyosemwa juu ya Hayati Magufuli, kuna ulazima wa haraka sana kumpata mwingine wa aina yake

Naunga mkono hoja
 
Samahani, km ntakuwa nje ya mada, hivi kisukali pia husababisha ugonjwa wa akili.
 
👏👏👏
 
Kwa bahati mbaya kabisa, nadhani hili huna ushahidi nalo zaidi tu kwa sasa upo ili ulinde tonge lako
Sina ushahidi wa nini ? kina KINgangwalla, Makonder na Subhire hela walizopiga walipeleka wapi ? H.K na bilioni mbili alizoiba (wizarani ) aliishia kufanya biashara ya kununua na kuuza mazao, Makonder akamwaga hela ili apate nafasi ya kugombea ubunge wa Kigamboni na Subhire alitumbua na kula Bata akijua JPM ataishi milele. JPM aliwabeba sana alisomesha hadi nje watu wake aliwapa scholarshp masters kama zote. Nenda kanda ya ziwa utaona, Kaa watu wa huko ambao wapo serikalini au kwenye taasisi za serikalini. Watakuambia mambo makubwa ambayo Jpm alifanya. Katika kazi usimpe mtu kipaumbele kwa sababu ni ndugu yako. Inabidi uwe na mtu mwenye malengo kama yako. Na mtu anaweza kuwa na malengo kama yako lakini ana njia nzuri zaidi kuliko yako . JPM alikosa team kwa sababu alitaka kufanya kila kitu mwenyewe na aliamini watu wake hawatomuangusha. Hakutulia chini na kuchagua kikosi kazi kizuri. Watanzania tunasahau sana.
 
mwingine ambaye anaweza akajali maslahi ya watanzania wote ni Bashiru Ally
Duuh..
Huyu si ndiye alisimamia ule ufisadi wa biashara ya ununuzi wa binadamu kwa kodi za Watanzania maskini?!
Hafai kabisaa
 
Tukimpata kama JPM jambo la kwanza amtie ndani JK na SHH ndani kwa kuuza nchi
Mkuu precedence imeshawekwa, akipatikana kama JPM, habari yake sio zaidi ya miaka 5! Muulize ndugai hana hamu!
 
S
Sidhani kama anaweza kutokea mwingine kama yule. Sheitwan wahed
 
Kiashiria kingine cha wewe kuwa muongo, ni kuogopa hata kutaja majina ya unaosema walikuibia pesa
 
Mnahangaika bure tu. Mtu sahihi wa kuivusha nchi hii yupo Chanika hapo,tena hana chama wala nini. Hao wengine Wameshakuwa politically polluted na itikadi za vyama vyao ambazo sio lazima ziwe zenye mlengo wa kuivusha nchi ifike kwenye Maziwa na asali
 
Hivi si yuko Rais ambaye wanadai hajqwahi kutokea na anaupiga mwingi! Maza wa Taifa ukiacha mama Maria!
Na amewaweka wasaidizi kibao wanaosifika kuwa wazuri ukiacha huko bungeni kuliko na mamluki na maCovid 19! Ninini wanachofanya?
Kuna na mdada mmoja msaanii mzazi ameqnzq kuomba kura ikiwa na maana kuwa tuendelee na huyo huoyo mwenye sifa hadi umeme unakata kila kukicha!
Siku ya siku miradi zote simama na ukiisha ujue ni mbovu haudumu pesa yote kwa matumbos!!
Nchi hii mchwa ni wengi mama! Njio huku!.
 
Mnahangaika bure tu. Mtu sahihi wa kuivusha nchi hii yupo Chanika hapo,tena hana chama wala nini. Hao wengine Wameshakuwa politically polluted na itikadi za vyama vyao ambazo sio lazima ziwe zenye mlengo wa kuivusha nchi ifike kwenye Maziwa na asali
MUNGU atuletee katika wakati wake, tunamhitaji saana
 
MUNGU atuletee katika wakati wake, tunamhitaji saana
Ni Kijana tu(34 years) ila yaliyomo akilini mwake kuhusu hili Taifa aisee hata akipewa Africa aijengee misingi ya maendeleo anaweza sana tu. Amejaaliwa capacity kubwa na ya kipekee ya kiuongozi.

Mungu hana upendeleo. Ni wetu sote[emoji120]
 
Yule pimbi alitawaliwa na ushamba, ubabe wa kijinga, uwongo na wizi. Tamzania mtu wa namna hiyo hana nafasi tena. Kama unatamani mtu wa hivyo nenda na wewe kachimbe kaburi lako Chato muzikwe jirani
 


Kamtafute
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…