Doto Dotto
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 3,906
- 2,902
Mtu yeyote atakaeonekana ana element km za JPM
Hakuna kupewa nchi
Hakuna kupewa nchi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ccm hawajali Hilo so long as akionesha kuwasaidia kwenye chama Chao watampa nafasi at the expenses of Tanzanians.Mtu yeyote atakaeonekana ana element km za JPM
Hakuna kupewa nchi
Naunga mkono hojaHata kama staandika matarajio yenu, kifupi ni kwamba, Tanzania inahitaji tena na kwa haraka mno mtu mwenye mfanano na hayati JPM,
Watanzania acheni kuendekeza ujinga, uzembe na ulalamishi
Wengi wenu ni walalamishi na msiopenda kabisa kufanya kazi, (wavivu wa kupindukia) mnapenda starehe bila kujali mnachoingiza
Familia zote masikini chanzo ni baba legelege, baba asiyeweka mfumo na mwongozo thabiti juu ya watoto wake, ni kuandaa mababa wengine walioferi maisha tokea kwa makuzi yao
Nikikumbuka kipindi cha huyo mwamba, kila mtu alipenda kufanya kazi, maofisini nako vile vile kwa sababu baba alikuwa ni mchapa kazi, mkemea uzembe, mkemea wezi na kila maovu, JPM aliwakemea mpaka viongozi wastasfu kwa sababu alijua nini anafanya juu ya nchi hii yenye watu masikini na sio tu masini, bali pia ni nchi yenye wajinga wenge!
Hayati Magufuli alikuwa ni mwalimu mzuri wa mapato na matumizi pia, kila kilichokuwa kikipatikana, kilielekezwa sehemu hisika tu na kufuatiliwa kwa ukaribu
Na ndiyo maana karibu kila mradi ulikuwa ukienda vema kwa sababu shilingi ilikuwa haipotei ovyovyo,
Nikiangalia sasa tulipo na tunavyokwenda, tumekopa matrilioni ya shilingi, na bado miradi ya kimkakati inasuasua, nani aseme tupo kwenye njia sahihi? Hivi ni nani mpaka muda huu kawajibishwa kwenye ripot ya CAG iliyovunja records ya upotevu wa mabilion ya shilingi, nani kajihudhuru walau tuweke imani kwa wanaotuongoza? Nani kafikishwa mahakamani ili tuseme tunatendea haki wananchi??
Mgogoro wa Wizara ya Nishati na wananchi, ni kama kumekosekana mtu wa kuutibu huu mgogoro, visingizio viingi na havijawahi kuisha, kwa nini tuwe na mgao wa umeme?? Tunakosa nini yaani, mwenye jibu wa swali hili nitamlipia ya bando la mwezi mzima, kwa nini kuwe na mgao wa umeme Tanzania kama siyo ulegelege na uzembe tu uliokubuhu?
Kama tunataka kuwa nchi inayopiga hatua kiuchumi na kuwa nchi inayoheshimika nje ndani, basi tunamhitaji mfano wa mtu aliyepita, yaani JPM asiyeogopa kufa kwa ajili ya maisha ya wengi ili akabiliane na wezi, mafisadi, wazembe na makuwadi wa kisiasa na machawa yaliyokosa kazi za kufanya, yanaabudu watu ili yalipwe badala ya kufanya kazi halali!
Wale kufokafoka karibuni mfoke, na sababu ni moja tu, maslahi yenu yaliyojengwa kwenye wizi na ujanjaunja, ndiyo huwa hamtakaki viongozi kama hao!
Mwisho, Ipo siku itajulikana iwapo Rasilimali Mungu alizotupa zilipaswa kulindwa kwa nguvu na kwa jicho la husuda kama alivyokuwa akifanya JPM na au tuendelee kuziona ni kama Mungu alituwekea kwa bahati mbaya na hatuzitaki!
Ni mtu mpumbavu tuu ndio anaweza furahia aina Ile ya UongoziNani Yuko tayari kupambana na majambazi ambayo hayaonekani ,nan anapenda kufa ,nenda mwenyewe ukawe JPM ..
👏👏👏Kipindi cha JPM kulikuwa na unafiki wa hali yajuu. Na ni kipindi ambacho watu wasiopenda kazi(wanasiasa) walipiga sana hela. Waliokuwa wanafanya kazi hawakupandishiwa mishahara. Waliokuwa wanajituma na biashara walifungiwa akaunti zao za bank na pesa zao kuchukuliwa. Kuna watu walifunguliwa kesi za kudaiwa kodi toka miaka ya tisini ili waondoke kariakoo ili Jpm aweke watu wake kariakoo. Serikali haitakiwi kupewa kipaumbele, viongozi wanatakiwa waishi maisha ya chini sana. Kipindi hicho hicho ndio kwa mara ya kwanza watu waliteuliwa kishabiki bila kuangaliwa uwezo. Mama Samia anaendeleza alichofanya JPM, amejaza watu wa visiwani kama JPM alivyojaza watu wa kanda ya ziwa, anaipendelea ZNZ kama JPM alivyopendelea chato na kanda ya ziwa. Tatizo sio Rais tatizo ni mfumo na JPM ndiye Rais pekee aliyetumia nguvu zake za kikatiba kwa asilimia 100. JPM alikuwa Rais wa wavivu na wategemezi. Nawataarifu watanzania wenzangu zama za ujamaa hazipo hakuna atakayekuja kukutetea na kukubeba. Kwenye maisha inabidi ujipambanie wewe mwenyewe.Tanzania hatuendelei kwa sababu bado watu wanashikilia sera za kijamaa ambazo zilitoweka dunia nzima toka miaka ya 90.
Sina ushahidi wa nini ? kina KINgangwalla, Makonder na Subhire hela walizopiga walipeleka wapi ? H.K na bilioni mbili alizoiba (wizarani ) aliishia kufanya biashara ya kununua na kuuza mazao, Makonder akamwaga hela ili apate nafasi ya kugombea ubunge wa Kigamboni na Subhire alitumbua na kula Bata akijua JPM ataishi milele. JPM aliwabeba sana alisomesha hadi nje watu wake aliwapa scholarshp masters kama zote. Nenda kanda ya ziwa utaona, Kaa watu wa huko ambao wapo serikalini au kwenye taasisi za serikalini. Watakuambia mambo makubwa ambayo Jpm alifanya. Katika kazi usimpe mtu kipaumbele kwa sababu ni ndugu yako. Inabidi uwe na mtu mwenye malengo kama yako. Na mtu anaweza kuwa na malengo kama yako lakini ana njia nzuri zaidi kuliko yako . JPM alikosa team kwa sababu alitaka kufanya kila kitu mwenyewe na aliamini watu wake hawatomuangusha. Hakutulia chini na kuchagua kikosi kazi kizuri. Watanzania tunasahau sana.Kwa bahati mbaya kabisa, nadhani hili huna ushahidi nalo zaidi tu kwa sasa upo ili ulinde tonge lako
Duuh..mwingine ambaye anaweza akajali maslahi ya watanzania wote ni Bashiru Ally
Mkuu precedence imeshawekwa, akipatikana kama JPM, habari yake sio zaidi ya miaka 5! Muulize ndugai hana hamu!Tukimpata kama JPM jambo la kwanza amtie ndani JK na SHH ndani kwa kuuza nchi
MmhMkuu precedence imeshawekwa, akipatikana kama JPM, habari yake ni sio zaidi ya miaka 5! Muulize ndugai!
Sidhani kama anaweza kutokea mwingine kama yule. Sheitwan wahedHata kama staandika matarajio yenu, kifupi ni kwamba, Tanzania inahitaji tena na kwa haraka mno mtu mwenye mfanano na hayati JPM,
Watanzania acheni kuendekeza ujinga, uzembe na ulalamishi
Wengi wenu ni walalamishi na msiopenda kabisa kufanya kazi, (wavivu wa kupindukia) mnapenda starehe bila kujali mnachoingiza
Familia zote masikini chanzo ni baba legelege, baba asiyeweka mfumo na mwongozo thabiti juu ya watoto wake, ni kuandaa mababa wengine walioferi maisha tokea kwa makuzi yao
Nikikumbuka kipindi cha huyo mwamba, kila mtu alipenda kufanya kazi, maofisini nako vile vile kwa sababu baba alikuwa ni mchapa kazi, mkemea uzembe, mkemea wezi na kila maovu, JPM aliwakemea mpaka viongozi wastasfu kwa sababu alijua nini anafanya juu ya nchi hii yenye watu masikini na sio tu masini, bali pia ni nchi yenye wajinga wenge!
Hayati Magufuli alikuwa ni mwalimu mzuri wa mapato na matumizi pia, kila kilichokuwa kikipatikana, kilielekezwa sehemu hisika tu na kufuatiliwa kwa ukaribu
Na ndiyo maana karibu kila mradi ulikuwa ukienda vema kwa sababu shilingi ilikuwa haipotei ovyovyo,
Nikiangalia sasa tulipo na tunavyokwenda, tumekopa matrilioni ya shilingi, na bado miradi ya kimkakati inasuasua, nani aseme tupo kwenye njia sahihi? Hivi ni nani mpaka muda huu kawajibishwa kwenye ripot ya CAG iliyovunja records ya upotevu wa mabilion ya shilingi, nani kajihudhuru walau tuweke imani kwa wanaotuongoza? Nani kafikishwa mahakamani ili tuseme tunatendea haki wananchi??
Mgogoro wa Wizara ya Nishati na wananchi, ni kama kumekosekana mtu wa kuutibu huu mgogoro, visingizio viingi na havijawahi kuisha, kwa nini tuwe na mgao wa umeme?? Tunakosa nini yaani, mwenye jibu wa swali hili nitamlipia ya bando la mwezi mzima, kwa nini kuwe na mgao wa umeme Tanzania kama siyo ulegelege na uzembe tu uliokubuhu?
Kama tunataka kuwa nchi inayopiga hatua kiuchumi na kuwa nchi inayoheshimika nje ndani, basi tunamhitaji mfano wa mtu aliyepita, yaani JPM asiyeogopa kufa kwa ajili ya maisha ya wengi ili akabiliane na wezi, mafisadi, wazembe na makuwadi wa kisiasa na machawa yaliyokosa kazi za kufanya, yanaabudu watu ili yalipwe badala ya kufanya kazi halali!
Wale kufokafoka karibuni mfoke, na sababu ni moja tu, maslahi yenu yaliyojengwa kwenye wizi na ujanjaunja, ndiyo huwa hamtakaki viongozi kama hao!
Mwisho, Ipo siku itajulikana iwapo Rasilimali Mungu alizotupa zilipaswa kulindwa kwa nguvu na kwa jicho la husuda kama alivyokuwa akifanya JPM na au tuendelee kuziona ni kama Mungu alituwekea kwa bahati mbaya na hatuzitaki!
Tutamwachia nchi twende zetu BurundiMtu huyo si mwingine zaidi ya Mchemba. Hiyo kazi ataifanya kwa ufanisi mkubwa sana.
Huyu anayetegemea Dola kubaki madarakani?Ni kweli ila jamaa kuchukua mamlaka ya juu kumem cost sana. Mi naona ukiacha Mwabukusi mwingine ambaye anaweza akajali maslahi ya watanzania wote ni Bashiru Ally
Kiashiria kingine cha wewe kuwa muongo, ni kuogopa hata kutaja majina ya unaosema walikuibia pesaSina ushahidi wa nini ? kina KINgangwalla, Makonder na Subhire hela walizopiga walipeleka wapi ? H.K na bilioni mbili alizoiba (wizarani ) aliishia kufanya biashara ya kununua na kuuza mazao, Makonder akamwaga hela ili apate nafasi ya kugombea ubunge wa Kigamboni na Subhire alitumbua na kula Bata akijua JPM ataishi milele. JPM aliwabeba sana alisomesha hadi nje watu wake aliwapa scholarshp masters kama zote. Nenda kanda ya ziwa utaona, Kaa watu wa huko ambao wapo serikalini au kwenye taasisi za serikalini. Watakuambia mambo makubwa ambayo Jpm alifanya. Katika kazi usimpe mtu kipaumbele kwa sababu ni ndugu yako. Inabidi uwe na mtu mwenye malengo kama yako. Na mtu anaweza kuwa na malengo kama yako lakini ana njia nzuri zaidi kuliko yako . JPM alikosa team kwa sababu alitaka kufanya kila kitu mwenyewe na aliamini watu wake hawatomuangusha. Hakutulia chini na kuchagua kikosi kazi kizuri. Watanzania tunasahau sana.
Mnahangaika bure tu. Mtu sahihi wa kuivusha nchi hii yupo Chanika hapo,tena hana chama wala nini. Hao wengine Wameshakuwa politically polluted na itikadi za vyama vyao ambazo sio lazima ziwe zenye mlengo wa kuivusha nchi ifike kwenye Maziwa na asaliHata kama staandika matarajio yenu, kifupi ni kwamba, Tanzania inahitaji tena na kwa haraka mno mtu mwenye mfanano na hayati JPM,
Watanzania acheni kuendekeza ujinga, uzembe na ulalamishi
Wengi wenu ni walalamishi na msiopenda kabisa kufanya kazi, (wavivu wa kupindukia) mnapenda starehe bila kujali mnachoingiza
Familia zote masikini chanzo ni baba legelege, baba asiyeweka mfumo na mwongozo thabiti juu ya watoto wake, ni kuandaa mababa wengine walioferi maisha tokea kwa makuzi yao
Nikikumbuka kipindi cha huyo mwamba, kila mtu alipenda kufanya kazi, maofisini nako vile vile kwa sababu baba alikuwa ni mchapa kazi, mkemea uzembe, mkemea wezi na kila maovu, JPM aliwakemea mpaka viongozi wastasfu kwa sababu alijua nini anafanya juu ya nchi hii yenye watu masikini na sio tu masini, bali pia ni nchi yenye wajinga wenge!
Hayati Magufuli alikuwa ni mwalimu mzuri wa mapato na matumizi pia, kila kilichokuwa kikipatikana, kilielekezwa sehemu hisika tu na kufuatiliwa kwa ukaribu
Na ndiyo maana karibu kila mradi ulikuwa ukienda vema kwa sababu shilingi ilikuwa haipotei ovyovyo,
Nikiangalia sasa tulipo na tunavyokwenda, tumekopa matrilioni ya shilingi, na bado miradi ya kimkakati inasuasua, nani aseme tupo kwenye njia sahihi? Hivi ni nani mpaka muda huu kawajibishwa kwenye ripot ya CAG iliyovunja records ya upotevu wa mabilion ya shilingi, nani kajihudhuru walau tuweke imani kwa wanaotuongoza? Nani kafikishwa mahakamani ili tuseme tunatendea haki wananchi??
Mgogoro wa Wizara ya Nishati na wananchi, ni kama kumekosekana mtu wa kuutibu huu mgogoro, visingizio viingi na havijawahi kuisha, kwa nini tuwe na mgao wa umeme?? Tunakosa nini yaani, mwenye jibu wa swali hili nitamlipia ya bando la mwezi mzima, kwa nini kuwe na mgao wa umeme Tanzania kama siyo ulegelege na uzembe tu uliokubuhu?
Kama tunataka kuwa nchi inayopiga hatua kiuchumi na kuwa nchi inayoheshimika nje ndani, basi tunamhitaji mfano wa mtu aliyepita, yaani JPM asiyeogopa kufa kwa ajili ya maisha ya wengi ili akabiliane na wezi, mafisadi, wazembe na makuwadi wa kisiasa na machawa yaliyokosa kazi za kufanya, yanaabudu watu ili yalipwe badala ya kufanya kazi halali!
Wale kufokafoka karibuni mfoke, na sababu ni moja tu, maslahi yenu yaliyojengwa kwenye wizi na ujanjaunja, ndiyo huwa hamtakaki viongozi kama hao!
Mwisho, Ipo siku itajulikana iwapo Rasilimali Mungu alizotupa zilipaswa kulindwa kwa nguvu na kwa jicho la husuda kama alivyokuwa akifanya JPM na au tuendelee kuziona ni kama Mungu alituwekea kwa bahati mbaya na hatuzitaki!
Hivi si yuko Rais ambaye wanadai hajqwahi kutokea na anaupiga mwingi! Maza wa Taifa ukiacha mama Maria!Hata kama staandika matarajio yenu, kifupi ni kwamba, Tanzania inahitaji tena na kwa haraka mno mtu mwenye mfanano na hayati JPM,

MUNGU atuletee katika wakati wake, tunamhitaji saanaMnahangaika bure tu. Mtu sahihi wa kuivusha nchi hii yupo Chanika hapo,tena hana chama wala nini. Hao wengine Wameshakuwa politically polluted na itikadi za vyama vyao ambazo sio lazima ziwe zenye mlengo wa kuivusha nchi ifike kwenye Maziwa na asali
Ni Kijana tu(34 years) ila yaliyomo akilini mwake kuhusu hili Taifa aisee hata akipewa Africa aijengee misingi ya maendeleo anaweza sana tu. Amejaaliwa capacity kubwa na ya kipekee ya kiuongozi.MUNGU atuletee katika wakati wake, tunamhitaji saana
Yule pimbi alitawaliwa na ushamba, ubabe wa kijinga, uwongo na wizi. Tamzania mtu wa namna hiyo hana nafasi tena. Kama unatamani mtu wa hivyo nenda na wewe kachimbe kaburi lako Chato muzikwe jiraniNchi iliyojaa wajinga namna hii, yeyote mwenye akili timamu atakayeongoza tena, atafanya kama unavyomlaumu JPM
Lingine, ulichoandika kinafurahisha, ila usjisahau kwamba, wewe nawe ni binadamu mwenye sifa zote za kufa
Kwa mantiki hiyo, huna sauti ya mwisho kuihusu nchi hii na maisha ya mtu mwingine!
kama ungelikuwa na ufahamu wa kile JPM anaenda kufanya hayo unayolalamikia, ungelizuia hata kabla ya yeye kuwa Rais
Kama ilivgotokea yeye kuwa raisi na usijue anaenda kufanya nini Ikulu, itatokea tena kwa sababu huna ujuzi wa kuzuia
Onyanoko be
Hata kama staandika matarajio yenu, kifupi ni kwamba, Tanzania inahitaji tena na kwa haraka mno mtu mwenye mfanano na hayati JPM,