To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
Mabwawa bado hayajajaa maji..!!!??
Kmmke
😂😂😂🙌
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mabwawa bado hayajajaa maji..!!!??
Kmmke
Wewe una akili umezitoa wapi,tuoneshe ulicholifanyia taifa hili kumzidi JPM.
Hakuna serikali isiyoua Duniani,ata Samia na yeye ukiingia kwenye 18 zake anakuua!
Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Yuko makonda, nadhani mnamjua na hivi karibuni katikisa baadhi ya watendaji wa serikali kwa staili ya magufuli. Mwingine ni mwigulu, ni mkali yule jamaa kama atapewa mamlaka ya juu hakuna atakaecheka nae kwa uzembe. Mpina naye ni mfuatiliaji wa shilingi inakokwenda na kufanya shughuli yake. The rest politicians wako chadema na act wazalendo ni wakali uzembe hawataki
Tunahitaji mabadiliko ya kimfumo kuliko mabadiliko ya watu.Hata kama staandika matarajio yenu, kifupi ni kwamba, Tanzania inahitaji tena na kwa haraka mno mtu mwenye mfanano na hayati JPM,
Watanzania acheni kuendekeza ujinga, uzembe na ulalamishi
Wengi wenu ni walalamishi na msiopenda kabisa kufanya kazi, (wavivu wa kupindukia) mnapenda starehe bila kujali mnachoingiza
Familia zote masikini chanzo ni baba legelege, baba asiyeweka mfumo na mwongozo thabiti juu ya watoto wake, ni kuandaa mababa wengine walioferi maisha tokea kwa makuzi yao
Nikikumbuka kipindi cha huyo mwamba, kila mtu alipenda kufanya kazi, maofisini nako vile vile kwa sababu baba alikuwa ni mchapa kazi, mkemea uzembe, mkemea wezi na kila maovu, JPM aliwakemea mpaka viongozi wastasfu kwa sababu alijua nini anafanya juu ya nchi hii yenye watu masikini na sio tu masini, bali pia ni nchi yenye wajinga wenge!
Hayati Magufuli alikuwa ni mwalimu mzuri wa mapato na matumizi pia, kila kilichokuwa kikipatikana, kilielekezwa sehemu hisika tu na kufuatiliwa kwa ukaribu
Na ndiyo maana karibu kila mradi ulikuwa ukienda vema kwa sababu shilingi ilikuwa haipotei ovyovyo,
Nikiangalia sasa tulipo na tunavyokwenda, tumekopa matrilioni ya shilingi, na bado miradi ya kimkakati inasuasua, nani aseme tupo kwenye njia sahihi? Hivi ni nani mpaka muda huu kawajibishwa kwenye ripot ya CAG iliyovunja records ya upotevu wa mabilion ya shilingi, nani kajihudhuru walau tuweke imani kwa wanaotuongoza? Nani kafikishwa mahakamani ili tuseme tunatendea haki wananchi??
Mgogoro wa Wizara ya Nishati na wananchi, ni kama kumekosekana mtu wa kuutibu huu mgogoro, visingizio viingi na havijawahi kuisha, kwa nini tuwe na mgao wa umeme?? Tunakosa nini yaani, mwenye jibu wa swali hili nitamlipia ya bando la mwezi mzima, kwa nini kuwe na mgao wa umeme Tanzania kama siyo ulegelege na uzembe tu uliokubuhu?
Kama tunataka kuwa nchi inayopiga hatua kiuchumi na kuwa nchi inayoheshimika nje ndani, basi tunamhitaji mfano wa mtu aliyepita, yaani JPM asiyeogopa kufa kwa ajili ya maisha ya wengi ili akabiliane na wezi, mafisadi, wazembe na makuwadi wa kisiasa na machawa yaliyokosa kazi za kufanya, yanaabudu watu ili yalipwe badala ya kufanya kazi halali!
Wale kufokafoka karibuni mfoke, na sababu ni moja tu, maslahi yenu yaliyojengwa kwenye wizi na ujanjaunja, ndiyo huwa hamtakaki viongozi kama hao!
Mwisho, Ipo siku itajulikana iwapo Rasilimali Mungu alizotupa zilipaswa kulindwa kwa nguvu na kwa jicho la husuda kama alivyokuwa akifanya JPM na au tuendelee kuziona ni kama Mungu alituwekea kwa bahati mbaya na hatuzitaki!
Hachana na huyu mpuuzi. Inaonekana ni machinga ambae kipindi cha JPM aliruhusiwa kutembeza bidhaa zake sehemu yoyote kwa kitambulisho cha elfu 20. Ni mtu anaeamini kila mwenye pesa ni mwizi na haki ya kunyang'anywa.Watalaam wa uchumi wanasema nchi inahitaji mifumo kuliko haiba binafsi za viongozi.
Huyo mwenye sifa za JPM nae atapita tu na kuondoka zake na kila atakachofanya kwa ujasiri wake kuna siku kitakuwa ni historia tu.
JPM kwa kuonekana anafanya kazi na kusifiwa na watz wa aina yako upande wa pili aliumiza sana watu haswa wafanya biashara wachache.
ungesema wa kindergatten kabisa, nini la 7A?Spoken like a pure mwalimu wa darasa la 7A shule ya msingi Tanganyika.
Mkuu mawazo yako kama nayaona kwenye hiki kitabu kinachopigwa vita vya Wasomi Wajinga. Humu ndani kama mwandishi anatoa siri nyingi sana za CCM. Nafikiri ndiyo sababu hiki kitabu wamekipiga marufuku na mwandishi wake Dkt. Dyaboli hajulikani aliko mpaka sasaHata kama staandika matarajio yenu, kifupi ni kwamba, Tanzania inahitaji tena na kwa haraka mno mtu mwenye mfanano na hayati JPM,
Watanzania acheni kuendekeza ujinga, uzembe na ulalamishi
Wengi wenu ni walalamishi na msiopenda kabisa kufanya kazi, (wavivu wa kupindukia) mnapenda starehe bila kujali mnachoingiza
Familia zote masikini chanzo ni baba legelege, baba asiyeweka mfumo na mwongozo thabiti juu ya watoto wake, ni kuandaa mababa wengine walioferi maisha tokea kwa makuzi yao
Nikikumbuka kipindi cha huyo mwamba, kila mtu alipenda kufanya kazi, maofisini nako vile vile kwa sababu baba alikuwa ni mchapa kazi, mkemea uzembe, mkemea wezi na kila maovu, JPM aliwakemea mpaka viongozi wastasfu kwa sababu alijua nini anafanya juu ya nchi hii yenye watu masikini na sio tu masini, bali pia ni nchi yenye wajinga wenge!
Hayati Magufuli alikuwa ni mwalimu mzuri wa mapato na matumizi pia, kila kilichokuwa kikipatikana, kilielekezwa sehemu hisika tu na kufuatiliwa kwa ukaribu
Na ndiyo maana karibu kila mradi ulikuwa ukienda vema kwa sababu shilingi ilikuwa haipotei ovyovyo,
Nikiangalia sasa tulipo na tunavyokwenda, tumekopa matrilioni ya shilingi, na bado miradi ya kimkakati inasuasua, nani aseme tupo kwenye njia sahihi? Hivi ni nani mpaka muda huu kawajibishwa kwenye ripot ya CAG iliyovunja records ya upotevu wa mabilion ya shilingi, nani kajihudhuru walau tuweke imani kwa wanaotuongoza? Nani kafikishwa mahakamani ili tuseme tunatendea haki wananchi??
Mgogoro wa Wizara ya Nishati na wananchi, ni kama kumekosekana mtu wa kuutibu huu mgogoro, visingizio viingi na havijawahi kuisha, kwa nini tuwe na mgao wa umeme?? Tunakosa nini yaani, mwenye jibu wa swali hili nitamlipia ya bando la mwezi mzima, kwa nini kuwe na mgao wa umeme Tanzania kama siyo ulegelege na uzembe tu uliokubuhu?
Kama tunataka kuwa nchi inayopiga hatua kiuchumi na kuwa nchi inayoheshimika nje ndani, basi tunamhitaji mfano wa mtu aliyepita, yaani JPM asiyeogopa kufa kwa ajili ya maisha ya wengi ili akabiliane na wezi, mafisadi, wazembe na makuwadi wa kisiasa na machawa yaliyokosa kazi za kufanya, yanaabudu watu ili yalipwe badala ya kufanya kazi halali!
Wale kufokafoka karibuni mfoke, na sababu ni moja tu, maslahi yenu yaliyojengwa kwenye wizi na ujanjaunja, ndiyo huwa hamtakaki viongozi kama hao!
Mwisho, Ipo siku itajulikana iwapo Rasilimali Mungu alizotupa zilipaswa kulindwa kwa nguvu na kwa jicho la husuda kama alivyokuwa akifanya JPM na au tuendelee kuziona ni kama Mungu alituwekea kwa bahati mbaya na hatuzitaki!
Jielimishe kwanza ndio uanze kuchangiaHachana na huyu mpuuzi. Inaonekana ni machinga ambae kipindi cha JPM aliruhusiwa kutembeza bidhaa zake sehemu yoyote kwa kitambulisho cha elfu 20. Ni mtu anaeamini kila mwenye pesa ni mwizi na haki ya kunyang'anywa.
Hiyo takataka inaoza Chato, kama unaipenda nenda kazikwe naye. Usitujazie nzi hapa!!Unazo siku kidogo sana kijana kwa hasira hizo za kijinga!
CCM bwana ni wapumbavu sana yaani kwa sasa bunge ni lao watupu,Rais ni wao,mahakama ni yao,sasa mwakani wakati wa kampeni sijua watawaambia nn wananchi na Sijui watasema nani kawakwamisha.Hata kama staandika matarajio yenu, kifupi ni kwamba, Tanzania inahitaji tena na kwa haraka mno mtu mwenye mfanano na hayati JPM,
Watanzania acheni kuendekeza ujinga, uzembe na ulalamishi
Wengi wenu ni walalamishi na msiopenda kabisa kufanya kazi, (wavivu wa kupindukia) mnapenda starehe bila kujali mnachoingiza
Familia zote masikini chanzo ni baba legelege, baba asiyeweka mfumo na mwongozo thabiti juu ya watoto wake, ni kuandaa mababa wengine walioferi maisha tokea kwa makuzi yao
Nikikumbuka kipindi cha huyo mwamba, kila mtu alipenda kufanya kazi, maofisini nako vile vile kwa sababu baba alikuwa ni mchapa kazi, mkemea uzembe, mkemea wezi na kila maovu, JPM aliwakemea mpaka viongozi wastasfu kwa sababu alijua nini anafanya juu ya nchi hii yenye watu masikini na sio tu masini, bali pia ni nchi yenye wajinga wenge!
Hayati Magufuli alikuwa ni mwalimu mzuri wa mapato na matumizi pia, kila kilichokuwa kikipatikana, kilielekezwa sehemu hisika tu na kufuatiliwa kwa ukaribu
Na ndiyo maana karibu kila mradi ulikuwa ukienda vema kwa sababu shilingi ilikuwa haipotei ovyovyo,
Nikiangalia sasa tulipo na tunavyokwenda, tumekopa matrilioni ya shilingi, na bado miradi ya kimkakati inasuasua, nani aseme tupo kwenye njia sahihi? Hivi ni nani mpaka muda huu kawajibishwa kwenye ripot ya CAG iliyovunja records ya upotevu wa mabilion ya shilingi, nani kajihudhuru walau tuweke imani kwa wanaotuongoza? Nani kafikishwa mahakamani ili tuseme tunatendea haki wananchi??
Mgogoro wa Wizara ya Nishati na wananchi, ni kama kumekosekana mtu wa kuutibu huu mgogoro, visingizio viingi na havijawahi kuisha, kwa nini tuwe na mgao wa umeme?? Tunakosa nini yaani, mwenye jibu wa swali hili nitamlipia ya bando la mwezi mzima, kwa nini kuwe na mgao wa umeme Tanzania kama siyo ulegelege na uzembe tu uliokubuhu?
Kama tunataka kuwa nchi inayopiga hatua kiuchumi na kuwa nchi inayoheshimika nje ndani, basi tunamhitaji mfano wa mtu aliyepita, yaani JPM asiyeogopa kufa kwa ajili ya maisha ya wengi ili akabiliane na wezi, mafisadi, wazembe na makuwadi wa kisiasa na machawa yaliyokosa kazi za kufanya, yanaabudu watu ili yalipwe badala ya kufanya kazi halali!
Wale kufokafoka karibuni mfoke, na sababu ni moja tu, maslahi yenu yaliyojengwa kwenye wizi na ujanjaunja, ndiyo huwa hamtakaki viongozi kama hao!
Mwisho, Ipo siku itajulikana iwapo Rasilimali Mungu alizotupa zilipaswa kulindwa kwa nguvu na kwa jicho la husuda kama alivyokuwa akifanya JPM na au tuendelee kuziona ni kama Mungu alituwekea kwa bahati mbaya na hatuzitaki!
umekosea sana hilo ni jambaziMtu huyo si mwingine zaidi ya Mchemba. Hiyo kazi ataifanya kwa ufanisi mkubwa sana.
Kabisa mkuu. Huyu atakuwa mwalimu wa shule ya msingi. Hajajua bado mchezo wa siasa unavyochezwa. Pengine akisoma hiki kitabu hapa kinaweza kumsaidia kuelewa walau kidogoSpoken like a pure mwalimu wa darasa la 7A shule ya msingi Tanganyika.
Lakn Mungu alimpenda zaidHayati JPM alilipenda sana hili Taifa na watu wake.
Natafuta tusi nakosaMtu huyo si mwingine zaidi ya Mchemba. Hiyo kazi ataifanya kwa ufanisi mkubwa sana.