Na mpaka wajukuu zako wanaingia kaburini kwa uzee, CCM itaendelea kuwepo.CCM ni laana kwa hili Taifa.
Wakifanya tu mabadiliko tayari watakuwa wameset precedence ya NRNE=HMHU hapo hapo moto utanzia kusambaa nje wananchi watadai kwa nguvu mabadiliko ya katiba ya nchi na sheria za uchaguzi mwaka huu kabla ya kile kinachodaiwa uchaguzi.Wameitisha online conference meeting, lengo wabadilishe baadhi ya vipengele vya katiba yao kuelekea uchaguzi mkuu 2025 huku wakigomea mabadiliko ya sheria za uchaguzi mkuu ziweze ku suit vyama vyote kwa usawa