Tetesi: Bila kujua CCM wanaenda kufanya reforms ndogo chamani huku wakigomea reforms za taifa.

kagoshima

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2015
Posts
3,528
Reaction score
6,856
Wameitisha online conference meeting, lengo wabadilishe baadhi ya vipengele vya katiba yao kuelekea uchaguzi mkuu 2025 huku wakigomea mabadiliko ya sheria za uchaguzi mkuu ziweze ku suit vyama vyote kwa usawa
 
Wakifanya tu mabadiliko tayari watakuwa wameset precedence ya NRNE=HMHU hapo hapo moto utanzia kusambaa nje wananchi watadai kwa nguvu mabadiliko ya katiba ya nchi na sheria za uchaguzi mwaka huu kabla ya kile kinachodaiwa uchaguzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…