Bila kutaja miaka yako, tuambie una umri gani

Bila kutaja miaka yako, tuambie una umri gani

20220314_162905.jpg

20220314_162552.jpg

20220314_162619.jpg
 
Nimetumia Tsh 20, Mia 2 ya Noti, Vibegi vya Spoti, La saba nimevaa kiatu Four Engo,
Kuna vile vibeg Kama nailoni ngumu..ukivifunga vinalia "taap"..ukibeba unavipachika kwapani..🤣🤣🤣
 
JamiiForums likija swala la ukongwe, kila mtu ni mkongwe!

Likija swala la ujana, kila mtu ni kijana, tena balobalo.

Likija swala la hela, kila mtu ni dangote mdogo.

n.k
 
JamiiForum likija swala la ukongwe, kila mtu ni mkongwe!
Likija swala la ujana, kila mtu ni kijana, tena balobalo.
Likija swala la hela, kila mtu ni dangote mdogo.
n.k
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimetumia Tsh 20, Mia 2 ya Noti, Vibegi vya Spoti, La saba nimevaa kiatu Four Engo,
Umejitahidi Ila mie nimetumia Senti 5, 20 Hadi senti 50 ambayo Ina sura ya mwinyi ilikuwa inatosha kununua bagia.

Shilingi 5 unanunua bagia 10 za home kabisa
 
Nilikuwa nikilipa Tsh 5/= mimi na mabaharia wangu tulikuwa tunakabidhiwa sufuria la kapile(Mihogo iliyopikwa na kuungwa nyanya) tujiburudishe.

NB:Yule anayejiita Dokta Mihogo akasome kwanza.Tupo Madokta Mihogo wenyewe.
 
Back
Top Bottom