Bila kutaja miaka yako, tuambie una umri gani

Bila kutaja miaka yako, tuambie una umri gani

Dah umenikumbusha mbali kipindi kile nasoma ..chips sahani 300 nusu 250..hapo na maji ya pinquin 50..😂😂😂😂..
Wazee wenzangu mpooo!!!
Unajikutaga mtu mzima sana kumbe katoto kadogo... Hahahaha
 
Huyu mwamba nimemshuhudia nikiwa Primary na secondary
20220218_215633.jpg
 
Dah #Mods futeni huu uzi unantia hasira na simanzi, nakumbuka iyo menu adi leo bado nipo majalala. Maisha yanagoma na jua ndio linazama
 
gubiti(sumni)
skari guru(shilingi)
bumunda(shilingi 1 na sumni)
 
JamiiForum likija swala la ukongwe, kila mtu ni mkongwe!
Likija swala la ujana, kila mtu ni kijana, tena balobalo.
Likija swala la hela, kila mtu ni dangote mdogo.
n.k
ikija kupiga kipara kila mtu ni fundi na anapiga para kuanzia lisaa kuendelea
 
Back
Top Bottom