Bila kutaja miaka yako, tuambie una umri gani

Bila kutaja miaka yako, tuambie una umri gani

😂😂😂😂 Smart nini lakini..basi shikamoo
Marahaba binti mwenye baby face...

Ila usisahau pia kumuamkia mwenye nyumba wako ili akupunguzie kodi...
 
Marahaba binti mwenye baby face...

Ila usisahau pia kumuamkia mwenye nyumba wako ili akupunguzie kodi...
Na hicho kibaby face ndicho kinachofanya unione Mimi Mdogo...sura tu hii Mimi mtu mzima huko😂
 
Kama mimi naanza hivi...

View attachment 2150141
1. Kuzinduliwa kwa noti ya thamani kubwa kuliko zote: 'Masai' ya Sh. 100/- ikiitwa hivyo kwa sababu ilikuwa na picha ya Mmasai ameshika mkuki.
2. Sarafu ya Senti 10 iliyokuwa na tundu katikati.
3. Sarafu ya Senti 1.
4. Bia ya Sh. 3.65. Zilipopanda kufikia Sh. 5.20 kikundi chetu tukapatana kugoma kunywa kwa sababu zimekuwa ghali mno. Mgomo haukudumu hata wiki mbili.
5. Unaenda mnadani kununua sindano ya kuchezea gramafoni ya 'His Master's Voice'.
6. Kujaza upepo kwenye taa ya chemli wakati mnajisomea darasani usiku kabla ya kwenda kulala.
 
Wale tuliotumia stempu hii mfanye kama mnajikuna.

Screenshot_20220316-095904.jpg
 
Pamoja Sana...na juice za sunvita
Dah umenikumbusha mbali kipindi kile nasoma ..chips sahani 300 nusu 250..hapo na maji ya pinquin 50..😂😂😂😂..
Wazee wenzangu mpooo!!!
 
Back
Top Bottom