Bila kutaja miaka yako, tuambie una umri gani

Bila kutaja miaka yako, tuambie una umri gani

Screenshot_20220317_201805.jpg
 
Kwa walio ishi Shinyanga / Kahama mbuzi tulinunua TZS 5,000/= Hadi TZS 7,000/=
 
Pipi = thumuni/ senti 50
Kitumbua shilingi 1
Pakiti ya karanga sh. 1
 
Tulicheza muziki wa live band sio sasa wa makompyuta, hauwaoni wanaopiga vyombo[emoji16][emoji23]
 
Umejitahidi Ila mie nimetumia Senti 5, 20 Hadi senti 50 ambayo Ina sura ya mwinyi ilikuwa inatosha kununua bagia.

Shilingi 5 unanunua bagia 10 za home kabisa
Sisi tuliotumia hela za mwingereza tunaruhusiwa kukomenti?
 
JamiiForums likija swala la ukongwe, kila mtu ni mkongwe!

Likija swala la ujana, kila mtu ni kijana, tena balobalo.

Likija swala la hela, kila mtu ni dangote mdogo.

n.k
Na likija suala la uzinzi kila mtu ni mzinzi na ule uzi wao pendwa....
Utasikia "nimemchezeaaa weee kuja kupima oil kitu tayari imeshaloaa!!!"😳😂😂 Daaah
 
Back
Top Bottom