Bila kutaja miaka yako, tuambie una umri gani

Bila kutaja miaka yako, tuambie una umri gani

Nilianza darasa la kwanza RASMI baada ya kushika sikio.
 
Nilianza darasa la kwanza RASMI baada ya kushika sikio.
😂😂 Umenikumbusha nilikua tuduchu hata sikio sishiki..nikapitishwa kwa kujuana..siku wakaguzi wanakuja Mimi na rafiki mmoja tukafichwa kwenye kabati la mwalimu🤣🤣🤣dah
 
vikombe vyetu vya uji shuleni
images (6).jpeg
 
😂😂 Umenikumbusha nilikua tuduchu hata sikio sishiki..nikapitishwa kwa kujuana..siku wakaguzi wanakuja Mimi na rafiki mmoja tukafichwa kwenye kabati la mwalimu🤣🤣🤣dah
Ha haaaaa haaaaa mwalimu wako muhuni Sana!
 
... kesho yake nilipoenda shule walimu walikuwa wanasimuliana kuhusu kampeni za Mkapa
 
Nikiwa darasa la nne ilikua nikitoka madrasa asubuhi saa 5 nyumbani nakuta dada zangu wanaangalia marudio ya Jumba la dhahabu ya jini kabula na Basupa channel ya TVT siku hizi TBC

Mziki uliokua una trend ni ule
Hei Hei aloo maaa[emoji445]
Laiti ingekua unanioonaaaa[emoji445]
Vile kila time nakondaa nawazaa[emoji445] Kama kukupata tawezaa[emoji445]

Huu wimbo kulikuwa na jamaa anadedicate kwa aunt yangu.. alikuwa anamsumbua sana, nlkuwa nashangaa wtf yule jamaa ana shida gan, baadae zile lyrics ndio zikawa zina make sense [emoji28]
 
Dah umenikumbusha mbali kipindi kile nasoma ..chips sahani 300 nusu 250..hapo na maji ya pinquin 50..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..
Wazee wenzangu mpooo!!!

Jamani jamani
Yaani mimi nakumbuka hiyo 300 mzee wangu anapata ng’ombe wa kimasai watatu halafu tukiwa wadogo kila mmoja anachagua wake [emoji23][emoji23]

Hapo ndio najua kuna wajukuu zangu humu
Marahabaaaaaaa
 
Hivi zinapatikana wapi Sukari guru kwa Sasa,,,Nimezimiss Sana jamani
Chuga zipo, huko ndio chimbo lilipo.

Zilikuwa maarufu sana early 2000 huko kijijini kwetu.

Kuna wanafunzi(wale vipanga) waliwahi kuchaguliwa kusoma Makuyuni Secondary. Kipindi cha likizo ilikuwa lazima waje, mara nyingine tulikuwa tunawaagiza kabisa.

Zikija tulikuwa tunazikata kata vipande na kuziuza kwa Sh 10/= hadi 20/= kila kipande.
 
Aiseee Ningefurahi Sana kuzila kwa Mara nyingine zimebeba memories nyingi sana
 
Back
Top Bottom