makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Tena ni kwa spidi ya mwanga.Nauli Sasa Ni 200!Maisha yanakimbia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena ni kwa spidi ya mwanga.Nauli Sasa Ni 200!Maisha yanakimbia
Daaah huyu mwamba wakuitwa Wu Kong....Ile mida tunatoka ibadani jumapili tunaikuta Kati,Huyu mwamba nimemshuhudia nikiwa Primary na secondary View attachment 2152194
Vinatia hamu
Hivi zinapatikana wapi Sukari guru kwa Sasa,,,Nimezimiss Sana jamanigubiti(sumni)
skari guru(shilingi)
bumunda(shilingi 1 na sumni)
Safari Yao ya East ilikuwa na misukosuko Sana.Enzi hizo itv ..siku ya jumapili saa nne😂😂 na mfalme wao mzembee
Saana..ila nguruwe alikua anachosha khaa..Safari Yao ya East ilikuwa na misukosuko Sana.
😂😂 Umenikumbusha nilikua tuduchu hata sikio sishiki..nikapitishwa kwa kujuana..siku wakaguzi wanakuja Mimi na rafiki mmoja tukafichwa kwenye kabati la mwalimu🤣🤣🤣dahNilianza darasa la kwanza RASMI baada ya kushika sikio.
Ha haaaaa haaaaa mwalimu wako muhuni Sana!😂😂 Umenikumbusha nilikua tuduchu hata sikio sishiki..nikapitishwa kwa kujuana..siku wakaguzi wanakuja Mimi na rafiki mmoja tukafichwa kwenye kabati la mwalimu🤣🤣🤣dah
Nikiwa darasa la nne ilikua nikitoka madrasa asubuhi saa 5 nyumbani nakuta dada zangu wanaangalia marudio ya Jumba la dhahabu ya jini kabula na Basupa channel ya TVT siku hizi TBC
Mziki uliokua una trend ni ule
Hei Hei aloo maaa[emoji445]
Laiti ingekua unanioonaaaa[emoji445]
Vile kila time nakondaa nawazaa[emoji445] Kama kukupata tawezaa[emoji445]
Nimetumia hadi senti tanoKuna raia wametumia sumni humu?
Dah umenikumbusha mbali kipindi kile nasoma ..chips sahani 300 nusu 250..hapo na maji ya pinquin 50..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..
Wazee wenzangu mpooo!!!
Umemsahau Mzee wa Pii! Pii!
Chuga zipo, huko ndio chimbo lilipo.Hivi zinapatikana wapi Sukari guru kwa Sasa,,,Nimezimiss Sana jamani
Aiseee Ningefurahi Sana kuzila kwa Mara nyingine zimebeba memories nyingi sanaChuga zipo, huko ndio chimbo lilipo.
Zilikuwa maarufu sana early 2000 huko kijijini kwetu.
Kuna wanafunzi(wale vipanga) waliwahi kuchaguliwa kusoma Makuyuni Secondary. Kipindi cha likizo ilikuwa lazima waje, mara nyingine tulikuwa tunawaagiza kabisa.
Zikija tulikuwa tunazikata kata vipande na kuziuza kwa Sh 10/= hadi 20/= kila kipande.