BestOfMyKind
JF-Expert Member
- Apr 26, 2012
- 1,350
- 1,464
Jana Mh Alisema sababu ya kuendelea na mradi wa SGR ni " tumetumia hela nyingi tayari, tukiuacha sasa hivi tutakua tumetupa hela".
Kwa maana hiyo mradi ule hauna sababu ya kiuchumi kuwepo, unamaliza hela tu.
Kama Mh mama angelikua rais tokea mwanzo mambo ambayo angefanya ni kupandisha vyeo watumishi, kusafiri kuomba mikopo na kujenga madarasa kama JK.
Mambo makubwa makubwa kama kuvuta maji kutoka victoria, umeme wa Nyerere na Ndege wala asingeyagusa.