Bila Magufuli SGR isingekuwepo

Bila Magufuli SGR isingekuwepo

Aliyesain mkataba na waliojenga reli, mnhp ni kikwete ama magufuli?. Ni mjinga tu ndo anaweza kubeza kazi nzuri alizofanya magufuli. Nawaacha mbishane ila wenye akili tunajua kila kitu
Na ni mjinga tu ndie anaweza kusema kama sio JPM basi SGR isingejengwa wakati JPM kaingia madarakani kakuta taratibu karibu zote zimeshakamilika!
 
Hata taratibu zote za kuhamia Dodoma zilikuwa zimeshakamilika
SGR alishatafutwa Mkandarasi. Je, taratibu za kuhamia Dodoma Mkandarasi alikuwa nani?

The problem mnadhani watu walikuwa wanashindwa kuhamia Dodoma kumbe haikuwa kipaumbele! Na kwavile haikuwa kipaumbele, viongozi walikuwa wanahamia hatua kwa hatua!!
 
Ni kweli na alipoingia Magufuli akamfukuzamchina akawapa waturuki baada ya Ile team ya waziri Mkuu wa uturuki kuja Tanzania wakamtoa ndimu msukuma.
Then Mturuki akaenda omba Mkopo China wa kujenga reli,chuma matiper yote yanatoka China,so gharama za ujenzi ni mara mbili ya awali ya mchina.
Makubaliano ilikuwa Mchina azalishe chuma nchini Ili kupunguza gharama,
Yule Bwana kwa kupenda 10% akampa Mturuki.
 
SGR alishatafutwa Mkandarasi. Je, taratibu za kuhamia Dodoma Mkandarasi alikuwa nani?

The problem mnadhani watu walikuwa wanashindwa kuhamia Dodoma kumbe haikuwa kipaumbele! Na kwavile haikuwa kipaumbele, viongozi walikuwa wanahamia hatua kwa hatua!!
Kuhamia dodoma ilikuwa ni hitaji la magufuli na sio hitaji la watz.
Thus hayupo na Dodoma inafifia.
 
There was a desire pia, Magufuli ameingia madarakani akakuta tayari kulikuwa na maongezi yalikuwa yanaendelea kati ya serikali yetu na wachina lakini alipoingia Magu akawafukuza Jambo ambalo lilisababisha kutetereka kwa mahusiano kati ya nchi hizi mbili.

So there was a deaire
The desire for Sgr yes, but not Rufiji hydropower electric plant.

About Sgr he made the right decision to chase those Chines rooters, see what they did to our fellow Kenyans (Price excegration with low quality compared to Turkey).

Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
 
Mradi wa sgr umetutia madeni. Halafu mradi ukikamilika utatutia madeni zaidi. Pia ramani ya mradi imekosewa. Reli ya sgr inatakiwa iende sehemu ya mizigo mingi. Na mizigo mingi ni shaba ya Zambia , na madini ya cobalt na shaba yaliyopo Lubumbashi/kolwezi/katanga Drc Congo. Sasa hii reli naona imepotea uelekeo wa mizigo mingi mno kwa hiyo haitarudisha hela. Kwa hiyo ni madeni juu ya madeni halafu riba. Mizigo mingi ipo kusini kwa Congo na Zambia. Halafu reli inaelekea mashariki mwa Congo
 
Jana Mh Alisema sababu ya kuendelea na mradi wa SGR ni " tumetumia hela nyingi tayari, tukiuacha sasa hivi tutakua tumetupa hela".

Kwa maana hiyo mradi ule hauna sababu ya kiuchumi kuwepo, unamaliza hela tu.

Kama Mh mama angelikua rais tokea mwanzo mambo ambayo angefanya ni kupandisha vyeo watumishi, kusafiri kuomba mikopo na kujenga madarasa kama JK.

Mambo makubwa makubwa kama kuvuta maji kutoka victoria, umeme wa Nyerere na Ndege wala asingeyagusa.
Bila Mkapa , watanzania wasingekuwa na rais wa hovyo kama Magufuli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
It will be nice to know what was the financial implications of the Chinese package against what we have now kabla ya kuanza ku praise watu. I believe we are worse off now
 
The desire for Sgr yes, but not Rufiji hydropower electric plant.

About Sgr he made the right decision to chase those Chines rooters, see what they did to our fellow Kenyans (Price excegration with low quality compared to Turkey).

Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
Mbona hata yeye alirudi tena kwa hao hao unaowaita rooters?! Yaani watu mmeongopewa na awamu ya tano kuanzia siku ya mwanzo hadi ya mwisho!! Halafu hilo la low quality labda ukumbushwe TAZARA imejengwa na Mchina na inakaribia miaka 50 sasa na bado ipo swafi!
 
Jana Mh Alisema sababu ya kuendelea na mradi wa SGR ni " tumetumia hela nyingi tayari, tukiuacha sasa hivi tutakua tumetupa hela".

Kwa maana hiyo mradi ule hauna sababu ya kiuchumi kuwepo, unamaliza hela tu.

Kama Mh mama angelikua rais tokea mwanzo mambo ambayo angefanya ni kupandisha vyeo watumishi, kusafiri kuomba mikopo na kujenga madarasa kama JK.

Mambo makubwa makubwa kama kuvuta maji kutoka victoria, umeme wa Nyerere na Ndege wala asingeyagusa.
Ingekuwepo. Si ya umeme, ni kama ya [emoji1139] Kenya
 
It will be nice to know what was the financial implications of the Chinese package against what we have now kabla ya kuanza ku praise watu. I believe we are worse off now
Ilikuwa mihemuko tu ya JPM kwa sababu wakati aliwapiga chini Wachina kwa mbwembwe zote lakini hata kabla ya kifo chake, wakarudi tena kwa Wachina! Mkuu asikudanganye mtu. Kwa Afrika hii kumkwepa Mchina sio kazi nyepesi
 
Mambo huwa yanakuwa kwenye pipeline for long, shida ni vile hatuna pesa za kutekeleza kwa wakati. Ungejua daraja la Kigamboni liliwekwa kwenye pipeline kipindi gani na likajengwa kipindi gani ungeshangaa.

Financial constraints ndio zinafanya mambo yacheleweshwe.
 
Tunasahau mapema sana. Mnakumbuka Mwakembe na Treni zake. Yeye ndiye aliyeanzisha, na kumwachia Mh Samweli Sitta. Na tayari walishaanza mpango wa kukopo Uchina. Na Mh S Sitta alipanga luunza kabya 2014 hili kushawishi Kura kwa CCM
 
Hii roho yako ya korosho inakusaidia nini?
Mchina anajenga Isaka - Mwanza
Aliyetoa hiyo tender ya Isaka-Mwanza ni wakati wa mama Samia Magufuli aliwakataa wachina hata ukisema nina roho ya korosho lakini huu ukweli utabaki kuwa hivyo.
 
JK alishindwa kutokana na wapigaji kutaka cha juu kikubwa
Whatever it is lakini idea ndiko ilikoanzia na utekelezaji ndiko ilikoanzia na JK hakushindwa Ila muda wake wa kukaa madarakani ulikuwa imeisha.same as Bagamoyo port
 
Then Mturuki akaenda omba Mkopo China wa kujenga reli,chuma matiper yote yanatoka China,so gharama za ujenzi ni mara mbili ya awali ya mchina.
Makubaliano ilikuwa Mchina azalishe chuma nchini Ili kupunguza gharama,
Yule Bwana kwa kupenda 10% akampa Mturuki.
Yes, na wakati huo anakopa kwa Dola analipwa kwa Tshs hapo ndio hiyo gharama ikawa double. Alishaelezea hii kitu mheshimiwa Zitto
 
Back
Top Bottom