Bila Magufuli SGR isingekuwepo

Bila Magufuli SGR isingekuwepo

SGR idea ilianza wakati wa Kikwete consult your records right sema ujenzi ndio uliwekwa kipaumbele na ukaangukia wakati wa Magufuli.
Ideal huwa zipo miaka yote. Changamoto utekelezaji, suala la kuhamia dodoma lilikuwepo Toka enzi za Nyerere. Lkn jpm ndio kaja kulitekeleza.
 
Back
Top Bottom